mei mosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi Mwanza Itafanyika Wilaya ya Sengerema

    MHE. HAMIS TABASAM AWAKARIBISHA WANAMWANZA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ZITAKAZOFANYIKA SENGEREMA Mbunge wa Jimbo la Sengerema Mkoa wa Mwanza, Mhe. Hamis Tabasam amewakaribisha wananchi wa Sengerema na Mwanza kwa ujumla kushiriki maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika Sengerema...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Morogoro Awakaribisha Watanzania Wote kwenye Mei Mosi Morogoro

    MBUNGE MHE. ABOOD ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MOROGORO Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE. DKT. ABDULAZIZ M. ABOOD anawakaribisha Watanzania wote kutoka kila Eneo la Nchi yetu kwa ajili ya Sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika tarehe 01.05.2023 Morogoro Mjini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mei mosi iliyojaa ngonjera, ya nini?

    Za ndani kabisa zinadai risala ya shirikisho la umoja wa vyama vya wafanyakazi imejaa "asante" na "pongezi" nyingi kwa mama. Yaani risala haina tofauti na ile inayosmwa na UVCCM. Vyama vya wafanyakazi na UVCCM tofauti ni sare zao tu. Sikukuu ya mei mosi ifutwe!
  4. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Sare za TUGHE Mei Mosi 2023

    Kimsingi naona mwaka huu wafanyakazi utumishi wa umma wanaotarajia kusheherekea siku yao maalum wamepigwa na kitu kizito kichwani maana hizo t-shirts hazina mvuto wowote na zimekuwa zikijirudia mwaka kwa mwaka na huenda ni matoleo ya miaka iliyopita yakabaki ndio wanarudishiwa licha ya michango...
  6. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2023, nini hatma ya wafanyakazi waliokaa Miaka 9 wakiwa na daraja moja tu?

    Tahadhali naomba kujua ni Nini hatma ya wafanyakazi ambao kutokana na sababu (za awamu iliyopita) walikaa Miaka 9 Bila kupanda daraja achilia mbali nyongeza ya mshahara! Kwa Mfano wale ambao waliajiriwa Mwaka 2014. Walikuja kupanda daraja mwaka 2021. Imagine! Je Nini hatma Yao? Je Kuna namna...
  7. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kero za Wafanyakazi ambazo TUCTA wataziwasilisha mbele ya Rais Samia siku ya Mei Mosi 2023

    Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Wakati siku ya wafanyakazi duniani ikikaribia, naomba niweke wazi kero za wafanyakazi, hasa wa sekta ya umma, ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atarajiwa kuwa mgeni rasmi Mei Mosi 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi yatakayofanyika kitaifa mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta) imesema maadhimisho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani...
  9. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ndo hiyooo! TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeko la mishahara

    Naomba TUCTA Mjipange vizuri juu ya ongezeka la mishahara Kwa wafanyakazi mwaka huu. Mnakumbuka Mama alitangaza jambo letu kwa mbwembwe tukapigea na kitu kizito. Tusije lia tena jamani. Hatutaweelewa.
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania NSSF kusitisha huduma ya matibabu ya mwanachama kutoka Shirika binafsi baada ya kustaafu haiingii akilini

    Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake. Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi na Mfumuko wa Bei; ningepunguza PAYE kama Hayati Dkt. Magufuli

    MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI. Leo 21:30pm 02/05/2022 Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9,huku wafanyikazi kote duniani wakiadhimisha sikukuu ya wafanyakazi,nchini Tanzania...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kati ya mabango yaliyopita kwenye Mei Mosi, ni kwanini hakuna hata bango, lililokemea ufisadi mkubwa uliofanywa Serikalini wa mabilioni ya shilingi?

    Nimeyaangalia mabango yote, yaliyobebwa na wafanyakazi, yaliyopita mbele ya mgeni wa heshima, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, sikuona hata bango moja, lililokemea vikali ufisadi mkubwa uliofichuliwa na CAG, Charles Kicheere, wa ufujaji wa mabilioni ya shilingi za pesa za walipa kodi wa nchi...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mei Mosi bila uwepo wa Rais wa JMT itanoga?

    Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma? Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais. Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale...
  15. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

    Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi. Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi. ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuelekea Mei Mosi: Usipandishe mishahara kwa wafanyakazi, bali punguza Kodi/PAYE

    Huu ni ushauri kwa Rais wetu kipenzi Cha Watanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Nafahamu kwamba pamoja na Mambo mengine serikali ya mama Samia ina nia njema ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi hapa nchini wawe wa sekta binafsi ama wale wa serikalini. Ushauri wangu kwa mama kuelekea mei mosi...
  17. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
  18. data

    JamiiForums Tanzania Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

    Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe. Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake. Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
  19. A

    JamiiForums Tanzania MUZIKI: SILAHA KUNTU KUELEKEA MEI MOSI HII

    Wanabodi Habari zenu. Kuna watu wengi wanao uwezo wa kutunga nyimbo. Nawaalika watu wote wenye uwezo huo katika uzi huu. Tungeni mashairi yenye heshima na staha kuelekea mei mosi hii(2022). Zimebaki siku chache sana kufahamu mbichi na mbivu juu ya stahiki za wafanyakazi wote hapa Tanzania...
  20. A

    JamiiForums Tanzania "Kasalari"- Nguvu ya muziki kuelekea Maadhimisho ya Mei Mosi 2022

    Wanajamvi Habari za mihangaiko na poleni. Moja kwa moja kwenye mada. Sanaa ya muziki ina nguvu kubwa sana, inapenya mioyoni na inaathiri hisia moja kwa moja. Kwa kulitambua hili, nawaalika wenye uwezo wa kutunga mashairi yenye maudhui ya kuboresha stahiki za wafanyakazi kuelekea mei mosi hii...
Back
Top Bottom