mei mosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Wafanyakazi Zanzibar kuongezewa Tsh. 50,000 kama posho ya nauli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali ya CCM Mei Mosi mmejifanya wajanja, tutawanyoosha Uchaguzi Mwakani

    Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake. Mwaka huu Mei Mosi tena imepita hola. Wafanyakazi madai yao mmetuona kama nyama ya Nyongeza. Sasa nasisi tunajua pakushika. Tutaoneshana Umwamba Uchaguzi ujao. Kama mmeona hatuna thamani basi hata kura zetu hamtaziona.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watumishi mnazungumzoaje Mei Mosi 2024?

    Naomba tupate maoni ya watumishi kuhusu Sikukuu ya Mei, Mosi 2024. Tofauti na wadudu kupita mbele ya alahiki kuna jambo gani jipya ya msingi limejotokeza kwenye kusanyiko lenu? Wametii kiu yenu ya kukusanyika ?
  4. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Haymarket affair au Haymarket Massacre ilivyogeuka Kuwa Mei Mosi na Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Historia Ya Mei mosi)

    SOLIDARITY! Mei Mosi, au Siku ya Wafanyakazi Duniani, ilianza kama harakati ya kutetea haki za wafanyakazi katika karne ya 19. Mnamo mwaka 1886, maandamano ya wafanyakazi nchini Marekani yalifanyika kudai saa za kazi zisizozidi masaa 8 kwa siku. Tukio hili linajulikana kama "Haymarket affair"...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

    Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu? === Pia soma: Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Upo uhusiano kati ya maslahi Bora na mfanyakazi kuwa na kitambi?

    Niliowaona kwenye maandano siku ya mei Mosi, 85% ya wafanyakazi walioandamana mbele ya mgeni rasmi, Makamu wa Rais walikuwa na vitambi, viribatumbo. Yaani body mass index (BMI) zao ziko juu, kwa maana nyingine walikuwa na uzito mkubwa kuliko matarajio. Maswali ni, je, wafanyakazi walioandamana...
  7. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

    Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara.. Mbona amekimbia? Mbona mwenzake wa Zanzibar...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

    Fuatilia kinachojiri kwenye Maadhimisho ya siku ya Mei Mosi Kitaifa, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, leo Mei 1, 2024 https://www.youtube.com/live/ou5SjfKQdUs?si=ZGhP6q5GsAM4R5SS Maadhimisho haya yamehudhuriwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa inawatakia Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi "Mei Mosi"
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali inapojisifu kupiga hatua kiuchumi sifa zote anapewa Rais huku watumishi wakiaswa kuboresha utendaji ili kuleta tija na mishahara ipande

    Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu. Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua kiuchumi sifa zote anapewa Rais aliyeko madarakani na wanaompa hizo sifa haswa ni wale viongozi wa...
  11. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Tabiri yatakayotokea Mei Mosi 2024 Arusha

    Wanajamii habari za majukumu: Kesho jumatano ya tarehe 01-05-2024 pale Arusha katika viwanja vya sheikh Abeid Amani Karume kutafanyika Sherehe za wafanyakazi Wote wa Umma na binafsi. Sector zote. Kama ilivyo Ada Mgeni rasmi ni Mwajili mkuu wa SERIKALI Mh. Dr. Samia Suluhu Hasani, Raisi wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba ukemee ubaguzi kwenye sherehe za Mei Mosi

    Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Shairi la wafanyakazi kabla ya Mei Mosi 2024

    EWE KIKOKOTOO NI NANI? 1:Nauliza Mimi ,Ebu nipeni majibu, Kikotoo kinajaliwa,Hakipati Majibu, Ewe Kikokotoo ni nani? 2:Watu wanakufa, Wanapooza, Hutaki kujibu,huna Huruma, Ewe Kikokotoo ni nani?. 3: Kikokotoo umekuwa Sugu, hujadiliki,Hutaki suluhu, Ewe Kikokotoo ni nani? 3:Ajira imekuwa...
  14. Kayabwe

    JamiiForums Tanzania Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? Mei Mosi inakaribia

    Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
  15. DON YRN

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda: Mei Mosi na kundi lililosahaulika ndani yake

    Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
  16. Liyan

    JamiiForums Tanzania Walimu kutumia Vishkwambi ni mpaka wapewe semina na elimu kutoka Wizarani?

    Mbona walimu wanachekesha nchi jamani? Mpaka Raisi anasema wapewe elimu namna ya kuvitumia aisee! Kweli walimu ni taabu kiasi wadau, mwanangu anaweza akatelezesha hivyo vishkwambi na asipate shida yoyote! ila mwalimu anataka semina ya kufundishwa kutumia? Ualimu ni shida sana.
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru Watua Wilaya ya Mufindi Siku ya Mei Mosi

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
  18. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ni siku ya walimu duniani au wafanyakazi?

    Toka nmepata kujitambua kila mwaka naona katika siku ya wafanyakazi dunia walumu hua ndo vimbelembele sana kuliko wafanyakazi wa kada nyingine mpaka ikafika wakati najiuliza hivi mei mosi ni siku ya walimu au nikwa wafanyakazi wote. Ushauri kwa walimu waliopo field na sisi watarajiwa tuache...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro. Rais amewasili uwanjani akiambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson pamoja na Viongozi wengine wa...
  20. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya 2023 imepooza! Shida nini?

    Habari za Asubuhi wapendwa! Binafsi nimeshangazwa na sikukuu ya wafanyakazi (Mei Mosi) ya mwaka 2023 kupoa, hakuna ata matangazo wala promo lolote! Kama vile hamna kitu kabisa! Wafanyakazi tatizo nini?
Back
Top Bottom