mei mosi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025. https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

    Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji. Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
  3. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani

    Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa taarifa kwa Waziri Mkuu maandalizi mei mosi yamekamilika 100%, Rais Samia mgeni rasmi

    Leo Jumatano Aprili 30, 2025 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ya ukamilifu na utayari wa kilele cha Sherehe za Mei Mosi zinazotarajiwa kufanyika kesho Mei Mosi katika Viwanja vya...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee, ambapo sherehe za Wafanyakazi yaani Mei mosi zinaratibiwa na kuandaliwa na Serikali na sio vyama vya wafanyakazi

    Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu. Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao? Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Ni nini unafurahia kama mfanyakazi

    Wana JF, Wengi sisi ni wafanyakazi sehemu na idara mbalimbali. Kesho ni siku yetu ya kufurahia na kukumbushia haki zetu. Kama mfanyakazi ni kitu gani kinakufurahisha kwenye kazi yako. Kwa mimi ni ile recognition ya msimamizi wangu eneo la kazi. Je wewe?
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nawatakia kila la heri wafanyakazi wote kuelekea siku yenu ya Mei Mosi

    WaTanzania wanajivunia weledi, umakini, uaminifu na uchapakazi wenu katika kuwatumikia bila kuchoka, bila kukata tamaa na bila upendeleo wala ubaguzi. Wanachi wanashauku na imani kubwa mno kwenu na wanategemea huduma bora zadi tuendako. Ustahimilivu wenu, subra na kujitolea kwenu kumewafanya...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mei Mosi

    Utangulizi Mei Mosi ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi, inayotumika kutambua, kusherehekea, na kuangazia mchango muhimu wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa. Katika Tanzania, siku hii huadhimishwa kwa hamasa kubwa, huku serikali na vyama vya wafanyakazi wakitumia fursa hiyo kuzungumzia...
  10. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ile siku ya wafanyakazi kudanganywa kama watoto wadogo imefika

    Yeah ni tar 1/05/2025 Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100% Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI.. kisha watapiga vigelele siku imepita.. Ukweli wa mambo Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

    Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  13. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi mwaka huu 2025 ni Fumbo kwa Rais

    Wasalam Mabibi Na Mababu! Bila kupoteza muda Kauli mbiu ya Mei Mosi-2025 ni; ''Uchaguzi mkuu 2025, utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, sote tushiriki.'' Nadhani Mheshimiwa Raisi anahitaji mtaalamu wa fasihi na lugha aweze kumfumbulia hili Fumbo. Nachoona wafanyakazi...
  14. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida yaanda kuku choma wa kienyeji kulisha wageni zaidi ya 6000 kuelekea Mei Mosi

    Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wakamatwa Kenya kwa kusafirisha Malkia wa Siafu hai. 5,000 wakutwa kwenye mirija

    Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai. Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
  16. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi karata kuu ya kupata Kura mamilioni

    Huku CHADEMA wakisusia Kanuni. Sherehe za Mei Mosi mwaka ndio wakat wa kusomba Kura za walimu, magnesium na wengineo.
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

    Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀 Ndio maana hata katika...
  18. copyright

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili. Nimetonywa hapa kuwa katiba...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Walimu msubiri Mei mosi ya 2025

    Walimu ndio wanaojazana kwenye sherehe za Mei mosi na fulana zao za CWT, sijuagi wanafuataga nini maana hakuna la maana wanalopambaniaga kwa masilahi yao, haya mwakani mvae tena fulana zenu mkapigwe na jua pasipo faida.
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ni faida au hasara kwa Taifa?

    Sikukuu ya Mei Mosi, inayojulikana pia kama Siku ya Wafanyakazi Duniani, inaadhimishwa kwa kusherehekea mchango wa wafanyakazi katika kujenga jamii na kuboresha hali zao za kazi. Sikukuu hii ina historia ndefu ya kutetea haki za wafanyakazi na kuimarisha mazingira ya kufanya kazi, na imekuwa...
Back
Top Bottom