media

  1. Wickama

    JamiiForums Tanzania Gaza Atrocities and Independent Media Finally Awaken Americans

    The tide in the US is slowly turning against politicians who support the atrocities in Gaza. Could any of this have been possible without the thriving independent media platforms and the internet? https://youtube.com/shorts/0xl8AvsKN40?si=MVvEiRezxymkG5-z
  2. 888I

    JamiiForums Tanzania Hivi unakuzaje akaunti za Social media na kuwa na followers wengi

    Habari za muda huu Mjumbe 😂 Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza tu kwa vitendo zaidi wajumbe uwanja ni wenu karibuni kwa maoni....
  3. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT kwa ujumla. Gharama za kusimamia akaunti zote ni 400,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  4. Mndengereko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi kuinstall vlc media kwenye hisense smart tv

    wakuu heshima yenu,naomba msaada wa kueleweshwa ni namna gani naweza kuinstall vlc media player katika hisense ambayo ni smart tv? kwa maana haina playstore hivyo siwezi kudownload adroid based programs! Natanguliza shukrani.
  5. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana: Dar es salaam. Mawasiliano: 0756704145
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kweli nimekubali "SEX SELLS"

    Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa. Mara nyingine inatumika kama propaganda ya mamlaka ili kuwapunguzia scrutiny, ili kuwatoa watu katika jambo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Media kipindi hiki wanapost tu kila kitu, wanaendekeza hela kwanza. Wabadilike

    Media zetu zinafanya very poor PR hasa kwa hawa wagombea au watu wenye vyeo uchwara. This is sad kwa sababu sasa huyu ni nani tena? Ana umuhimu gani hasa na tena cheo chenyewe ni huko Indonesia I believe wanaweza kufanya better naamini kulikuwa kuna mambo mengine ya muhimu ya kuwapa wananchi...
  8. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

    Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini. ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka...
  9. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi

    Kama unatafuta Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi - nasimamia mitandao ya kijamii pia naweza kusimamia tovuti (website) Mawasiliano: 0756704145
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
  12. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa mitandao ya kijamii (social media manager) nipo

    Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering). Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi) Naishi: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Consultant for quarterly media monitoring: Data collection and preparation on mis-/disinformation, hate speech and OGBV at JamiiAfrica

    Position: Consultant for quarterly media monitoring: Data collection and preparation on mis-/disinformation, hate speech and OGBV Location: Tanzania (Dar es Salaam) Duration: 23rd July 2025 – 30th November 2027 Application Deadline: 17th July 2025 Required Languages: English and Kiswahili...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

    Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
  15. H

    JamiiForums Tanzania ZAMECO Stakeholders Meet with Lawmakers to Discuss Progress of the Media Bill

    By Habari Hub Journalist, July 8, 2025 In an effort to improve the working environment for journalists and protect freedom of the press, a high-level consultative meeting was held today at the TAMWA-Z office in Tunguu, bringing together members of the Zanzibar Media Coordination Committee...
  16. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza social media chatapp

    Wakuu habari za wakati nime create social media chat app link hapo chini kujaribu https://six-app-3789b.web.app Mods msifute uzi wangu huu
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Mawakili wanaotaka kutumia media kushinda kesi

    Let us name and shame them. Wapo baadhi ya mawakili wamekuwa mstari wa mbele kutumia media kwa kutaka kuinfluence maamuzi ya mahakama. Tuwakatae kwani watatufikisha zile zama za Asulubiwe Asulubiwe jambo ambalo litaathiri mifumo ya utoaji haki.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji social media manager?

    Unahitaji social media manager? nitakuwa natengeneza simple poster kuweka posts kwenye account kusimamia akaunti na mengineyo Mawasiliano: 0756704145 Eneo: Dar es salaam, Mbezi
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Pata elfu kumi kila siku kwa kuuza social media followers

    Ndio! Kuna website kama victoriaboost.shop zinazokuruhusu kununua followers kwa bei ya chini kabisa, kisha kuwauzia wateja kwa bei ya juu. Unapata faida papo hapo. Lakini unahitaji kujifunza JINSI ya kuifanya hii biashara kwa usahihi… Nitakupa mwongozo wa hatua kwa hatua: Jinsi ya kujiunga...
  20. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
Back
Top Bottom