Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa.
Mara nyingine inatumika kama propaganda ya mamlaka ili kuwapunguzia scrutiny, ili kuwatoa watu katika jambo...
Media zetu zinafanya very poor PR hasa kwa hawa wagombea au watu wenye vyeo uchwara. This is sad kwa sababu sasa huyu ni nani tena?
Ana umuhimu gani hasa na tena cheo chenyewe ni huko Indonesia I believe wanaweza kufanya better naamini kulikuwa kuna mambo mengine ya muhimu ya kuwapa wananchi...
Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka...
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine.
Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh.
Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Kama unatafuta Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi
- nasimamia mitandao ya kijamii pia naweza kusimamia tovuti (website)
Mawasiliano: 0756704145
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager), Nina uzoefu wa kutosha, elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering).
Pia najua website hosting na management (kusimamia tovuti kuanzia kulipia Hadi ufundi)
Naishi: Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Position: Consultant for quarterly media monitoring: Data collection and preparation on mis-/disinformation, hate speech and OGBV
Location: Tanzania (Dar es Salaam)
Duration: 23rd July 2025 – 30th November 2027
Application Deadline: 17th July 2025
Required Languages: English and Kiswahili...
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
By Habari Hub Journalist, July 8, 2025
In an effort to improve the working environment for journalists and protect freedom of the press, a high-level consultative meeting was held today at the TAMWA-Z office in Tunguu, bringing together members of the Zanzibar Media Coordination Committee...
Let us name and shame them.
Wapo baadhi ya mawakili wamekuwa mstari wa mbele kutumia media kwa kutaka kuinfluence maamuzi ya mahakama.
Tuwakatae kwani watatufikisha zile zama za Asulubiwe Asulubiwe jambo ambalo litaathiri mifumo ya utoaji haki.
Unahitaji social media manager?
nitakuwa natengeneza simple poster
kuweka posts kwenye account
kusimamia akaunti
na mengineyo
Mawasiliano: 0756704145
Eneo: Dar es salaam, Mbezi
Ndio! Kuna website kama victoriaboost.shop zinazokuruhusu kununua followers kwa bei ya chini kabisa, kisha kuwauzia wateja kwa bei ya juu. Unapata faida papo hapo.
Lakini unahitaji kujifunza JINSI ya kuifanya hii biashara kwa usahihi…
Nitakupa mwongozo wa hatua kwa hatua:
Jinsi ya kujiunga...
Ripoti kutoka vyombo vya habari vya Iran zinaeleza kuwa kumekuwa na shughuli kali za ulinzi wa anga karibu na Uwanja wa Pasteur jijini Tehran, eneo ambalo liko karibu na makazi rasmi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, pamoja na ofisi ya rais.
Shirika la habari la Tasnim...
WanaJF habari za wakati?
Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
Kwa mujibu wa AI ya Grok;
Idadi ya Watanzania kwa Ujumla: Kulingana na sensa ya 2022, idadi ya Watanzania ilikuwa milioni 61.7, na inakadiriwa kuwa itaongezeka hadi milioni 77.9 ifikapo 2030, ikiwa na ongezeko la takriban watu milioni 1.6 kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa mnamo 2025, idadi ya...
Kila media utakayoingia utaskia bodi ya ligi na dabi mara hatuchezi mara betting mara ujinga gani sijui.
Hivi kipaumbele chetu kimekuwa michezo?🤔
Jamani hatuna mengine ya kiuchumi kisiasa kijamii ya kuyaongelea zaidi ya michezo?
Ikiwezekana kuwe na udhibiti wa kiasi fulani aisee vinginevo...
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia.
Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.