mdude

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

    Peace, Katika mjadala wa bandari hakuna aliemzidi Lissu kuzunguka huku na huko akikusanya halaiki kubwa na kupinga mkataba tena kwa lugha kali zaidi, huku akitema hoja nzito nzito zikiambatana na makaripio na dhihaka kwa mamlaka za serikali. Sambamba na hoja zake za moto Lissu amefika mbali na...
  2. Lavit

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa na watu waliojitambulisha kama Polisi

    Muda mchache uliopita kavamiwa nyumbani kwake, polisi hawajasema wametoka kituo gani na haijajulikana anapelekwa wapi. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi --- Kupitia mtandao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo Kamata kamata inaendelea Zamu hii Dr. Slaa akamatwa leo jumapili tarehe 14/08/2023....
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

    Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanapenda kumkamata Mdude kwa sababu wanalipwa na serikali perdiem zakuzunguka naye; zikiingia kwenye akaunti tu wanamwachia

    Mdude na wenzake wanaishi Mbeya; wamekaa Mbeya toka hukumu ya DP world ilipotolewa na wakatoa na matamko yao hakuna aliyewakamata. Mara paap wamepanga safari waje zao kula bata mjini wanakamatwa usiku wa manane Mikumi; kisha utasikia wamepelekwa makao makao makuu Dodoma mara wamepelekwa Mbeya...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga

    Kufuatia habari zilizoripotiwa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushikiliwa kwa katibu wa CHADEMA kanda ya kati Emmanuel Masonga, Wakili Boniface Mwabukusi na na kada maarufu wa CHADEMA Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  10. kitonsa

    JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waliomsindikiza Wakili Mwabukusi Polisi nao wakamatwa. Yumo Mdude Nyangali

    Taarifa kutoka Mbeya zinaeleza kwamba baadhi ya watanganyika wazalendo waliomsindikiza Boniface Mwabukusi kwenda kuripoti Polisi, kama Wito wa Jeshi hilo ulivyomtaka, Wamekamatwa na Polisi, kupigwa pingu na kudhalilishwa. Baadhi ya majina yaliyotajwa kwa waliokamatwa kituoni hapo lipo la...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mdude wa CHADEMA ni nani hasa?

    Naomba kujua historia ya huyu bwana mdogo kwa anayeijua. Anajiamini na ana misimamo mikali kama muasisi wa CHADEMA hayati Tuntemeke Sanga. Hata Sugu kabla hajachakachuliwa alikuwa na misimamo mikali sana hasa alipoporwa mradi wa vyandarua😀😀.
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini...
  14. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amvaa Nape amwambia aache kutisha watu. Kuuza bandari isiwe sababu ya kutisha watu

    Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atoa machozi akihutubia, usajili wanachama kidijitali umefanikiwa sana

    Mdude Nyagali ametoa machozi akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi.
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mdude ni mwanasiasa mzuri wa upinzani aliyepuuzwa na chama chake

    Tukisoma Biblia tunaona kwamba hata Mwenyezi Mungu wakati anachagua Manabii, Mitume na watu wa kufanya kazi zake hakuwa akichagua watu legelege na waoga. Nabii Musa kwenye ujana wake aliona ndugu yake anaonewa na Mmisri akachukia na kumpa kipigo hadi kumuua yule Mmisri kisha kumfukia. Yakobo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, Samehe! Nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta

    Mdude_Nyagali Kwanza nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta. Umepitia mateso makubwa sana kwa sababu ya Imani yako ya kisiasa nakwa sababu ya uzungunguzaji wako na hoja zako. Tangu ulivyotoka jela nimekusikiliza sana, kuanzia Clubhouse na kwingine kote ulipofanya mahojiano. Kwa kweli...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

    Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude CHADEMA: Nilipotekwa na Polisi madaktari walinihudumia bila Pf 3, Mungu awabariki

    --- Nilipotekwa 2019 polisi walikataa kutoa PF3,lakini haikuzuia madaktari wa hospital ya kanda Mbeya kunihudumia tena kwa emergency kulingana na hali mbaya niliyokuwa nayo mpaka nikapona. Binafsi naona madaktari wana mchango mkubwa kuliko sekta zingine. Mungu awabariki madaktari.
Back
Top Bottom