mdude

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Wanafunzi wanaolipa kodi ya VAT wakinunua madaftali wanasoma kwenye mapagala!

  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Familia masikini ndio zinaumia kwa tozo za serikali ya Rais Samia

  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema: Mijitu inawaza tozo ili ilipwe posho tu

    Dah 👇 Huwa nasisitiza mara zote kuwa tunahitaji #KatibaMpya hata kwa njia za mkato, fikiria hili jitu linafananisha tozo za nchi maskini Tz na Ulaya. Halitaki kufananisha demokrasia Tz na Ulaya lenyewe linawaza tozo tu ili lilipwe posho. Kwanza linapotosha Ulaya ni Kodi tu hakuna tozo...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  5. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

    Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

    Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie. Wameshatafuna...
  7. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

    Rejea kichwa tajwa hapo juu Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude? Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana Huyu ndio...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema, kama alivyo Tundu Lissu, ni kama kile kizazi kinachotoweka cha wapagani uhuru wa bara hili kutokana na ujasiri walionao

    Mdude CHADEMA, kama alivyo Tundu Lissu, ni miongoni mwa binadamu wachache sana wenye ujasiri na walio tayari kukabiliana na hatari iliyo mbele yao kwa lengo la kupigana kile wanachokimimi ni sahihi kama vile kupigana haki za watu wengine, uhuru wao, n.k hata ikibidi kwa gharama ya maisha yao...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

    ..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa. ..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili. ..Msikilizeni Mdude...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

    Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; -- Askari polisi mwenye namba F.5123 D/ CPL Subira ambaye aliyekuwa na bunduki aina ya AK 47 adaiwa kumuua Juma Ramadhani kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi watatu wakati akiwa kwenye harakati za kujihami kwenye vurugu zilizotokea katika kiwanja cha...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake

    Hii MariaSpaces ni moto wa kuotea mbali, nilikua na usingiizi ila alipoanza kuongea Mdude ambaye ni muhanga wa "utekaji" usingizi ulikata. Nitajaribu kuweka Audio kama itakubali... Kwa kifupi ni kwamba 1. Walimpigisha shoti ya umeme kwenye chuchu na sehemu ya haja kubwa Mara kadhaa 2. Kwamba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Pozi la mdude Nyagali hii ni baada ya mateso ya jela kupona

    HABARI PICHA Mwonekano mpya wa Kada maarufu wa @ChademaTz Mdude Nyagali @mdudechadematz https://t.co/6WxGqZrEBO
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mdude Chadema ni uthibitisho kuwa kuwaweka ndani wapinzani, ni kuwakomaza na zaidi ni kuwaongezea "ari" ya mapambano

    Asubuhi ya leo, nilileta uzi hapa nikionya kuwa ukimfunga Mbowe, utafanya wapinzani waone hawana tena cha kupoteza kwa kufungwa au kuwekwa mahabusu. Nilionya kuwa hatua ya kuwaweka ndani inawafanya kuwa majasiri zaidi. Kabla jua halijazama, Mdude Chadema, aliekaa ndani kwa muda mrefu, jioni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mdude Nyagali ni sahihi, ni muafaka na CHADEMA wasiingie mtego wa kuikana

    Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini. Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu Nyerere alisema anataka kuwaona katika nchi hii, ambao wakimuona Bwana mkubwa anakosea basi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Watu wenye roho za kikatili waumizwa na Mdude kuwa huru

    Hukumu ya mahakama iliyomweka Mdude huru imewaumiza watu wasio na roho ya kibinadamu wanaoamini kwenye kukandamiza wenzao. Mashambulizi yao mitandaoni yanadhirisha kwamba walitamani aendelee kuozea ndani kitu ambacho siyo sahihi. Wapo waliojinasibu kumchangia kumbe hakuna mchango wamewahi kutoa...
  19. MJENGA

    JamiiForums Tanzania USHAURI CHADEMA: Mdude Nyagali amemkosea adabu Rais Samia, mtakeni amwombe radhi

    Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri. Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
  20. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

    Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba. Hawa CCM...
Back
Top Bottom