Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu :(

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
 
Kesi Kama hizo, Tumia TU akili dada angu.

Nakupa mbinu,
Wee mwnyw Kama dada ake jaribu kukaa kihasara hasara kdg Kama unamtega kingono uone atarespond vipi.

(NB: Sio kwa Nia ya kusex nae,
Bali kwa Lengo zuri tu la kumstua hisia zake.)

Ukiona,
Hamna response wasiliana na wazee wamuwaishe hospitali haraka Sana.

Mwanaume alokamilika akiona maungo flani flani hayajakaa mahala pake,
lazma tu adinde hata Kama Ni ndugu mapacha wa kuzaliwa tumbo moja
 
Yni jamii ndo ilipofikia hapa kuhalalisha zinaa wanaona ni kitu cha kawaida mno kma ww ushazoea ayo mambo ni maisha yako ulojichagulia muache dogo ana khofu ya Mungu huyo

Dunia ya leo ilipofikia
ukiacha kutenda.dhambi unaonekana mshamba
 
Back
Top Bottom