Mdogo wangu anaacha kusoma C.O ili akasome short course ya flight Operator

She Quoted you

JF-Expert Member
Oct 19, 2020
687
1,163
Habari humu, mdogo ameshachaguliwa kujiunga C.O pale TTCIH morogoro, ila anataka aache ili akasome short course ya miezi mi3 flight operation pale TCAA uwanja wa taifa.
Kwa wanaoifahamu hii kozi, vipi ajira zake ndani na nje?
Wanasema Kupata nje dubai ni rahisi.

Points za dogo kuacha medicine ni hizi
1.Muda (Medicine mpaka aje amalize diploma na degree na ajira ni miaka 10)
2.Opportunity (Anasema hata MD wapo kitaa sikuizi)
3.Ada (Kila mwaka Mil 3 kwa miaka 8 Vs mil 4 ya miez mi3)
4.Umri (Ameenda age kidogo ana 24)
3.Anapenda urubani hivyo itakuwa ni channel mojawapo.
Je, Yuko sahihi?

Ushauri tafadhali, maana chuo asiporipoti kufikia jumapili baada ya mechi ya yanga wanamcancell nafasi yake.
Natanguliza shukrani🙏
 
Natanguliza shukrani
akasome Cinical Medicine mkuu izo short course miyayusho japo cna experience nazo.
Clinical medicine ana advantage ya kujiajiri kuajiriwa kweny private sector hata serikalin.
Lakiz iyo flight operator kwanz uhitaj wa watumishi ni mdgo.
Bora akapige CO akimaliza anaweza akaomba Tempo hapo hapo st Francis au hat kweny mashirika ya pale. Opportunity zipp.
Kwa upande wa Bachelor asikurupuke mapema baada ya kumaliza Diploma maan unawez kuenda kusoma Bachelor ya Medicine unapomaliza unakta wale uliosoma nao diploma wana kazi
 
Course za sector ya anga ni nzuri, sema ajira zake sa msimu saa ndo shida. Labda nchi zinazoendeleza sector hiyo
 
akasome Cinical Medicine mkuu izo short course miyayusho japo cna experience nazo.
Clinical medicine ana advantage ya kujiajiri kuajiriwa kweny private sector hata serikalin.
Lakiz iyo flight operator kwanz uhitaj wa watumishi ni mdgo.
Bora akapige CO akimaliza anaweza akaomba Tempo hapo hapo st Francis au hat kweny mashirika ya pale. Opportunity zipp.
Kwa upande wa Bachelor asikurupuke mapema baada ya kumaliza Diploma maan unawez kuenda kusoma Bachelor ya Medicine unapomaliza unakta wale uliosoma nao diploma wana kazi
Tatizo skuizi hata maC.O wapo mtaan kaka
 
Kuna ndugu yangu amesoma iyo kozi ya miezi mi4 na alipomaliza alikaa mtaan kama miezi mitatu tu akaajiriwa hapohapo airport

Nadhan point za dogo zina mashiko afu siku zote kwenye maisha sometimes you have to stand in what you believe
Aaah okay, kumbe anachosema kinamake sense...Na vipi mishahara yao?
 
Tatizo skuizi hata maC.O wapo mtaan kaka
Mkuu CO atapata tu me nimemaliza Nursing diploma 2020 nimepata kazi kweny ajira za Samia za Juzi tu hapa.
Nimesoma EDGAR MARANTA kipo eneo moja na icho TTCIH na ST FRANCIS UNIVERSITY. Wote tunatumia hospital moja kwajil ya prac.
Lakin iyo short koz anayotak kusomea hata ajira zake ni ngum. Ukiangalia hat viwanja vya ndege vinavyo operate kazi Nying ni cha Dar na KIA hiv vngne vilivyobak cdhan kam vitakuwa na uhitaj mkubwa wa watumishi tofauti na ivy.
Ila anyway ni vema zaid kufany ktu unachokipend
 
Lakini vipi kupata abroad kama Dubai? Mkuu wa chuo icho alisema nafasi dubai zipo nyingi sasa sina uhakika inaweza kuwa ni marketing strategy
Mtafutieni diploma ya mambo ya anga, kama Aicraft maintainance ama nyinginezo zifananazo na hizo hapo NIT, Ila C.O sishauri atateseka tu mtaani, ni bora aje ateseke ila alisoma kitu anachokipenda na sio ile mliyo mlazimisha ninyi

Ama VETA akasome Skills kama UMEME, PLUMBING ama kingine kitakachompa nafasi ya yeye kujiajiri bila kutegemea ofisi za watu zimuajiri

Samahani kama nimetoka nje ya mada
 
Lakini vipi kupata abroad kama Dubai? Mkuu wa chuo icho alisema nafasi dubai zipo nyingi sasa sina uhakika inaweza kuwa ni marketing strategy
Mmhh co rahis mzee itakuwa jamaa anataka ujae kweny 18 labda ingekuwa kwa Full course lakn kwa short course kuwa na soko mpak nchi za mbele tena bora ingkuwa Africa, Dubaii
 
Back
Top Bottom