Anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance

AGROPRODUCT

JF-Expert Member
Apr 2, 2023
242
749
Husika na kichwa Cha habari hapo Juu, anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance.

Sifa awe na Elimu Diploma ya Finance, Business Administration or Marketing. Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kuhitaji kusimamia, Awe na uwezo wa Kutumia computer programm eg Excell , access, or other programm.

Awe tayari kuishi sehemu yoyote mkoa wa Manyara na Dodoma.

Awe na uzoefu wa kuingiliana na watu mbalimbali.

Mwenye sifa hizo naomba anitafute PM.
 
Nyie ndo mnawalipaga hao vijana dada zetu 100,000 kwa mwezi.NINA EXPERIENCE NA HIZI MICROFINANCE NA CREDIT COMPANIES.

Anapiga mzigo na kukukusanyia 3,000,000 kwa siku then wewe unampa output ya 3000 kwa siku au 100,000 kwa mwezi.

Weka kima cha mshahara hapa Waone dada zetu ili akija inbox ajue kabisa atakutana na nini na wewe ukiona kaja inbox unajua amekubaliana na terms and agreements za malipo.

Aurevior.
 
Nyie ndo mnawalipaga hao vijanana dada zetu 100,000 kwa mwezi.NINA EXPERIENCE NA HIZI MICROFINANCE NA CREDIT COMPANIES.

Anapiga mzigo na kukukusanyia 3,000,000 kwa siku then wewe unampa output ya 3000 kwa siku au 100,000 kwa mwezi.

Weka kima cha mshahara hapa Waone dada zetu ili akija inbox ajue kabisa atakutana na nini na wewe ukiona kaja inbox unajua amekubaliana na terms and agreements za malipo.

Aurevior.
Usingeandika wewe ningeandika mimi haya, aisee hawa kausha dam wanawalipa pesa ndogo sana
 
Kwanini unataka aje inbox? Weka mawasiliano yako wazi. Huko kamficheni unataka nini?
1. Rushwa ya ngono
2. Rushwa ya fedha
3. Kutapeli
Samahani unaweza kumwambia mtu aweke taarifa zake Juu kwani? Niliona ni vizuri Kutumia PM kuuliza maswali yangu yanayohusu uzoefu wake, na ujuzi.
 
Nyie ndo mnawalipaga hao vijana dada zetu 100,000 kwa mwezi.NINA EXPERIENCE NA HIZI MICROFINANCE NA CREDIT COMPANIES.

Anapiga mzigo na kukukusanyia 3,000,000 kwa siku then wewe unampa output ya 3000 kwa siku au 100,000 kwa mwezi.

Weka kima cha mshahara hapa Waone dada zetu ili akija inbox ajue kabisa atakutana na nini na wewe ukiona kaja inbox unajua amekubaliana na terms and agreements za malipo.

Aureviorw
Salary ninatoa nzuri kuliko Viwanda vya Wahindi, na kina ACCESS, Shida ipo kwenye utemdaji kazi wako, ninatarajia kutoa Bonus, nakuwa. Na performance appraisal, Eli niwezi kujua nani anastahili kupandishiwa mshahara,
Kigezo Cha kukupa nafasi ni kimoja tu, ni Wewe unayetaka nafasi kunionyesha Unakutu Gani tofauti na Waombaji wengi. Kwa Binti anayehitaji nafasi ya kazi lazima anionyeshe Mpango kazi wake alionao . Na malengo yake kwenye kukuza Biashara yangu, Piya niweze kuona kama ataweza kazi yangu na kwenda na Mimi.
NB;- Nahitaji mtu ambae anaweza kufanya kazi bila kusimamia, Mimi nipo busy kwenye issue zangu za kilimo na Mazao , hao watakaopata nafasi kwenye microfinance nategemea wawezi kufanya kazi bila kuhitaji usimamizi na kufuatilia a Kila wakati.
Kama upo seriously let mpango kazi na strategy zako tujadiliane PM
 
Yupo mwenye Degree, ila kwa mshahara huo hapana huwezi kumtoa mahali alipo sasa kumleta kwa kampuni yako sasa Kwa maisha kama ya Dodoma hio Laki moja inamfikisha wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom