mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA. Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe amezungukwa na Wahuni halafu anasema atachukua Nchi!

    Ukiangalia Mbowe anaruka na helikopta halafu anasema mwaka huu kunja ngumi, kunja ngumi tunachukua nchi, nikimwangalia Mbowe anasema atachukua nchi hebu angalia 'line up 'yake unamwona Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Naibu Waziri Mkuu kwenye timu yake? Unamwona Waziri wa Fedha Mwigulu...
  3. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa unatuabisha wana Iringa, kumbe ulikuwa unatudanganya!

    Sisi wana Iringa tumeamini kuwa wewe siyo MCHUNGAJI kabisa. Wakati bado upo cdm ulikuwa unatuaminisha kuwa hakuna chama makini kama cdm. Ukatushawishi tukakuchagua kupitia cdm na ukasema kuwa ccm siyo chama kabisa bali ni walaghai na wachumia tumbo. Leo hii tena unatuambia kuwa ccm ndiyo...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mchungaji, Imam au Sheikh akifanya makosa unalifuta kanisa au Utaufuta msikiti? Kwanini taasisi ifutwe kwa kosa la mtu mmoja?

    Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi. Ambazo ni Askofu Mkuu Makamu Askofu, Katibu Mkuu, Mhazina n.k. Lakini pia Kanisa linakuwa na Bodi...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Mchungaji kortini akidaiwa kumuua dereva kwa kukusudia

    Ernest George (37), amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka la mauaji ya kukusudia ya dereva, Majuto Seif. George, ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G), maarufu Mchungaji George amesomewa shitaka katika kesi ya mauaji namba 19830/2024, leo Jumatano Julai 17, 2024...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Firmino afungua kanisa lake huko Maceio, Brazil na yeye atakuwa Mchungaji

    Nyota wa zamani wa Roberto Firmino kwa kushirikiana na mkewe, wameanzisha kanisa huko Maceio, Brazil ambalo yeye atakuwa miongoni mwa wachungaji. Kufunguliwa kwa kanisa hilo ni kutimia kuwa ndoto ya muda mrefu kwa Firmino kufanya huduma ya uchungaji yeye pamoja na mkewe Larissa Pereira. Eneo...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Karibu Mchungaji Peter Msigwa

    KARIBU MHE BABA MCHUNGAJI PETER MSIGWA CCM. Na Elius Ndabila 0768239284 Nimeona mjadala mkubwa juu ya ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa CCM. Wapo wanaofurahia ujio huo na wapo wanaoponda. Wote wapo sawa. Mimi kabla sijatoa hoja zangu ninaunga mkono ujio wa Mhe Baba Mchungaji Peter Msigwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anayefahamika kama 'Bling Bishop' ahukumiwa Miaka 9 kwa Udanganyifu na Ulaghai

    Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu ya mshirika wake na kujaribu kumlaghai mfanyabiashara mmoja. Whitehead alipatikana na hatia mwezi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mchungaji Christina shusho avishwa Pete ya uchumba

    Mpenzi nilienae Kila siku ana matatizo jamani Kila siku yeye hasara yeye , kikosa ajira yeye ...Kila siku ananipa hbr mbaya nahisi ana mikosi
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Una shida, utamchagua Mchungaji yupi akuombee kati ya hawa?

    Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
  13. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

    Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mliodhani nahama CHADEMA Mnajidanganya

    Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema hana mpango wa kukihama Chama cha CHADEMA baada ya kutoshinda uchaguzi wa Kanda ya Nyasa. Msigwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa apendekeza kuwe na Midahalo ya Wazi hadi katika ngazi ya Kitaifa ili kupata Wagombea wa kupambana na CCM

    DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mchungaji anaomba ushauri

  17. T

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Shusho kumburuza Mahakamani Mchungaji Mbarikiwa

    Mchungaji shusho kumburuza mahakamani mchungaji mbarikiwa
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

    https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
  19. O

    JamiiForums Tanzania Peleka mshahara wako wa Kwanza kwa Baba yako sio mchungaji wako ubebe bataka zako

    https://www.instagram.com/reel/C6wky19Nd4U/?igsh=MXg1dDR5bWhzNno5bg==
  20. Stability

    JamiiForums Tanzania Ni mchungaji yupi alikusaidia kutatua changamoto zako ana kwa ana zilizokuwa zimekushinda kabisa?

    Karibuni wakuu
Back
Top Bottom