Upuuzi mkubwa sana huuWanadai hayo maigizo yalibuniwa na Mwgulu akishirikiana na mhuni mmoja anaitwa ludobvick ili kumfurahisha mamake.
Kuna pesa nyingi sana za mchezo ukijitoa ufahamu na kumsifia mama muuaji!Hawa anayewalipa ni nani?
Anafaidika nini?
Je wanadhalilisha thehebu au wanadhalilisha ukiristo kwa ujumla au wanajihaibisha wao?
View attachment 3535341
Kwann buza na siyo mbezi beach?Upuuzi mkubwa sana huu
Pana mahusiano makubwa kati ya ujinga na umasikini 📌🔨Kwann buza na siyo mbezi beach?
Hii ni sawa na story za popobawa na matangazo ya waganga kutoka sumbawanga
Pana mahusiano makubwa kati ya ujinga na umasikini
Kweli ndg!!Kwann buza na siyo mbezi beach?
Hii ni sawa na story za popobawa na matangazo ya waganga kutoka sumbawanga
Pana mahusiano makubwa kati ya ujinga na umasikini