mchina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Video: Lugha gongana ya mchina

    Hivi inakuaje hawa wachina wanakuja huku kwetu huku hawajui hata lugha ya kiingereza wala kiswahili ambazo zinakutanisha watu wengi?
  2. Mchina akamatwa uwanja wa ndege wa Kenyatta akisafirisha Siafu 2000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  3. Mchina akamatwa JKIA akijaribu kusafirisha zaidi ya siafu 2,000 kwa njia ya magendo

    Raia mmoja wa China amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya na kufikishwa Mahakamani akituhumiwa kujaribu kuwasafirisha nje ya nchi kwa njia ya magendo zaidi ya Siafu 2,000. Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Zhang Kequn alikamatwa wakati wa ukaguzi wa...
  4. W

    Mchina amshtaki DPP kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82

    Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025. Katika maombi hayo namba 000002421 ya 2026, Yan anayewakilishwa na wakili...
  5. Q

    Asanteni GenZ kwa kutunyamazishia kiredio cha mchina tulikuwa hatulali

    Kelele zilizidi sana mjini tulikuwa hatunywi maji wala kumeza mate, mara sisi ndio chawa wa mama, sisi wafupi wa mama, bodaboda wa mama, wabeba vyuma wa mama, barabara ya mama, hospital ya mama, was too much. Leo kimya hakuna cha nywi nywi wala nywinywinywi, CCM kimya, Uvccm kimya, chawa wa...
  6. E

    wakuu nauza machine excavator mchina kashusha bei kinoma

    kwa mnaoyaka kununua machine kama excavator brand ya sdlg pia na matela ya malori na tipa karibun wakuu bei maelewano
  7. Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

    WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
  8. Nimemuonea huruma sana Mchina aliyeenguliwa wakati wa kupiga picha

    Ilipofika muda wa kupiga picha kuna wengine walikuwa kando wakawa wanajisogeza kwenda kujumuika kwenye picha akiwemo yule mshereheshaji wa mradi (sina hakika kuna aliyekuwa akiwaita au laa). Wote hao wamekuja kwa kuchelewa kidogo lakini hawajakutana na kizuizi. Ajabu ni kwamba kuna watu kama...
  9. R

    Wale waliotoweka na kapu la sadaka pale Ufufuo na uzima, ndio hao wanaochunguza fuko la pesa za mchina?

    Salaam! Walipofunga utepe kanisa la Ufufuo na uzima,palikuwa na sadaka kwenye kapu, palikuwa na mali mbalimbali,walipovamia na kutawanya watu Kisha kuweka utepe, kulikuwa shwari kabisa. Kinachochanganya Hadi sasa,haijulikani kapu la sadaka walipeleka wapi Hadi Leo, Pana upotevu mkubwa wa mali...
  10. Maigizo: Bilion 6 kwa Mchina, maandamano Wakatoliki feki

    Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu. Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
  11. China ndio Sababu ya Maduro kutekwa na Marekani, Mchina ni tishio kwa Mmarekani

    Namna Marekani alivyocheza karata zake kwa Venezuela ni kama Demu mkali ale vitu vyako alafu kisha hakukatae badae unamuona anajibebisha kwa mwamba mwingine ambaye wewe ni kama mshindani wake wa muda mrefu, unaamua kumteka demu na kuondoka nae kwa nguvu hili awe na wewe kwa lazima. Hakuna...
  12. Polestar 5 EV Sedan imezinduliwa: Mswiden na Mchina wanatuuzia kwa Mil 320 bila TRA!

    Bado tupo IAA Mobility Ujerumani, na sasa tunaona kampuni ya magari Polestar kutoka Sweden, wakizindua flagship sedan yao Polestar 5. Polestar 5 GT zimezinduliwa za trims mbili, Dual Motors Launch Edition na Performance Launch Edition. Acceleration kutoka 0-100 kph inachukua sek 3.8 tu kwa...
  13. Hizi ndizo silaha hatari ambazo Mchina kazionyesha kwenye gwaride lake! Wachambuzi mpo!

    Najua kaamua kumuonyesha Mmarekani kwamba mimi pia nakuja! Hizi za hadharani, za sirini je??? Nuclear triad China for the first time displayed a full array of nuclear weapons that can be deployed from air, land and sea. H-6N Strategic Bomber The H-6N is a closely watched plane, it has...
  14. Huyu mchina anatafuta kufa au vipi?

    Hawa watu Sasa wamefikia levo nyingine😳
  15. Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  16. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  17. D

    connection ya Mchina anayeuza viatu vya kiume kuna 1 milion in sale hapa

    I will be short nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out. sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu. nipeni connection. dm ipo open
  18. Mchina amewezaje kupenya rada hadi Palestine

    Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza. Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya Israel zingemnasa sababu Lote ni eneo la kivita. Amewezaje au kulikuwa na makubaliano yoyote na...
  19. Eti Engineer mchina aliyesimamia ujenzi uwanja wa Mkapa alinyongwa kwao?

    Hizi stori ziko mtaani,kuwa injinia aliyepewaga kazi ya kusimamia uwanja wa mkapa alinyongwa, Ni baada yakupiga hela fulani kwa kuchakachua BOQ. Ndumbaro na Mwana FA na katibu mkuu wake wangekuwa China wasingeliona jua la kesho
  20. Mchina mmoja amemtongoza Mdada kwa iphone 99 lakini Bado alikataliwa

    Hakika mapenzi upofu sijui tusemaje kwa ndugu Yetu huyu baada ya kukataliwa kwa kuzipanga iphone zaidi ya 90 😀😀!!! Wakati ambao iphone 99 haziwezi kununua upendo! Ndipo kilichomkuta Jamaa mmoja toka china baada ya kununua iphone 15 pro max na 16 pro max na kuzipanga kwenye umbo la Kopa ❤️ ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…