Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM kata ya Lugata wilayani Sengerema mkoa mwanza wameandamana kupiga hatua za viongozi wa chama hicho ngazi ya kata kuzuia ujenzi wa ofisi ya chama hicho ambayo kwa sasa imechakaa na haiwezi kutumika
Hii ni siku ni moja baada ya mbunge wa Mbunge wa Buchosa...
Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana.
Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma.
Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
Elimu ya masters inakuweka mahali pazuri kuwa na power kubwa zaidi kama uwaziri, (POWER)
kwenye biashara elimu inaweza kukusaidia mambo ya investments, Tender, international trade, n.k. (MONEY)
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesisitiza Serikali kuwalipa Watumishi wa Vyuo Vikuu wakiwemo wahadhiri madeni yao mbalimbali wanayodai kwa kudai wengi wao wanafanya kazi katika mazingira magumu na hawajitokezi kugoma au kuonesha utovu wa nidhamu.
Ikumbukwe Januari 2025 kuna...
Hellow!
Nimesikia kiongozi mmoja akielekeza wapiga kura kuwa, Mbunge aliyepo Ndugu Mpina hafai kuwa Mbunge wa jjimbo Hilo. Kwamba anatafuta umaarufu jukwaani,
Kwamba hatoshi kwenye Nafasi hiyo na kwa dharau kubwa anawaambia wana Kisesa kuwa labda aletwe bungeni kwa Nafasi zile kumi za...
Habari za muda wana JF
Nimefuatilia kwa muda matukio mbali mbali yanayoendelea kwa sasa nchini kwetu na nimeona niweke uzi huu kujadili athari chanya au hata hasi inayoweza kuletwa na matukio haya. Kwa leo nitajadili suala la kuwepo kwa mgombea binafsi.
Turudi kwenye yaliyojiri kwa siku za...
Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi.
Badala yake bungeni...
Wakuu, nimeshtushwa kusikia hii statement leo kutoka kwa kiongozi wa nchi raisi Samia kwamba kuna mbunge wa Taifa na kuna mbunge wa Jimbo.
Mwezi October mwaka huu nchini Tanzania kutafanyika uchaguzi mkuu wa wabunge na pia raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo raisi wa sasa Samia...
Rais Samia kateleza ulimi alipokuwa anatoa ufafanuzi wa hoja za Luhaga Mpina. Kazi ya Mbunge si kuleta maendeleo wala kutoa huduma kama alivyodai. Bali mbunge ni mwananchi anayewawakilisha wenzake Bungeni.
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge wa viti Maalum mkoa wa Njombve Neema Mgaya ametangaza Rasmi kuchukua fomu ya Kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu wa October 2025.
Neema amesema hayo alipohudhuria baraza la UWT wilaya ya Njombe lililofanyika June 13,2025 mjini Njombe.
"Mimi niliwaahidi Wananjombe kuwa nitawatumikia mpaka wao watakaposema tumekuchoka, Sasa Wananjombe wenyewe wanasema tunakuhitaji kwahiyo nitagombea (tena) kwa ajili ya Wananjombe kwanza, Mimi sigombei kwa ajili yangu, kwanza kwa ajili yao; na Mimi nitagombea kwasababu Wananjombe bado wananitaka...
Serikali imemwagiza Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha kuwa watumishi wa Mamlaka hiyo wanafuata taratibu na sheria zilizowekwa.
Agizo hilo limetolewa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb)alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge...
Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19.
Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa.
Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
Mkiambiwa hamna akili au wengi hamna akili. Mnawakishwa na wasio na akili. Kweli Mbunge na akili timamu anaona hitaji kubwa walilo nalo ni namba maalum za magari? Watanzania wakati huo mnashangilia Simba na Yanga.
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema Jengo la Bunge ni la Wananchi na hakuna Mwananchi anayekatazwa kutekembelea lakini lazima kuwe na utaratibu ambapo amesisitiza kuwa suala la Wabunge kukaguliwa ni la muhimu na lazima kwa kuwa wapo wanaoamka na Watu tofauti.
Amesema hayo Bungeni...
SERA YA KILIMO BORA CHA PARACHICHI MBUNGE RUHORO AIWASILISHA BUNGENI.
BUNGENI - DODOMA
11/06/2025.
Mhe. Ndaisaba G Ruhoro Mbunge wa Ngara ameiuliza Wizara ya kilimo kuhusu mkakati bora wa kukuza kilimo Cha zao la Parachichi Jimboni Ngara.
Mhe. David Silinde Naibu Waziri Wizara ya Kilimo...
"...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.