mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Yetu Ingekuwa Makini, Hakuna Aliyekuwa Mbunge Angestahili Kurudi Bungeni.

    Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge: 1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu. 2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Mlikataa Katiba Mpya Ingelikuwa Na Mgombea Binafsi Ikawa Dawa Ya Kelele Nyakati Kama Hizi

    Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea. Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi za teknolojia sioni sababu ya kuwa na wabunge wengi kwakuwa Serikali ina uwezo wa kupata taarifa za nchi nzima bila kumtumia Mbunge

    Ukikaa ukatafakari kwa nchi masikini kama Tanzania ambayo sio tu ipo nyuma Ila imekwama kwa kila nyanja kuanzia kisiasa ,kiuchumi na kijamii. Sasa kuna sababu gan ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge ambao unasikia kuwa Kazi zao ni kuwawakilisha wananchi. Mimi nimefatilia sana siasa Ila ukweli...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano kwa mbunge yatosha, tuwapumzishe waliokuwepo kupitia funzo alotupa Bishop Gwajima

    Salaam! Nichukue fursa hii Kutangaza kuwa Mimi ni mmoja wa waumini juu ya ukomo wa kutumika kwa Nafasi ya ubunge na kwa miaka mitano pekee. Askofu Gwajima ametupa funzo kuwa, miaka mitano inatosha kabisa kwa mbunge, akatafute changamoto nyingine, haya mambo ya kufanya Jimbo kama lako, ndio...
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Sasa Tunaanza upyaa alisema Mbunge Bwege alikua Mbunge drama za CCM kwisha

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , Rejea mada tajwa . Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali kwamba tunaanza upyaaa. Sasa msemo huu leo nawambia pia ccm kwamba tunaanza upya ,drama zao...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni tupige hesabu, Kila mbunge akipewa milioni 400, jumla ni shilingi ngapi zinachotwa kwenye kodi zetu ?

    Ni matusi kukiita kiinua mgongo kwasababu hata watumishi waliofanya kazi miaka 30+ katika taasisi kubwa kama Benki kuu, TRA, Bandarini, Tanapa, n.k. wengi sana hawapati hicho kiasi, Kuna jumla ya majimbo mangapi yenye wabunge Idadi ya wabunge Viti maalum Idadi ya wabunge wanaochaguliwa na...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

    Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi. Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 No Reforms No Election sababu ya mkutano wa Kenani kuzuiliwa

    Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Kenani, amedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa ndani na wanachama wa chama hicho na kwamba baadhi yao walikamatwa na kupigwa. Akizungumza kwa njia ya...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kuna watu wanajiita great thinker bado wanauziwa uongo kwamba Mbunge analetea jimbo maendeleo. Huu ni uongo mkuu.

    Kuna nyakati zifike watu tutumia akili tulizo pewa na Mwenyezi Mungu, tupunguze kuuziwa ujinga na hadaa. Hakuna mbunge kutoka chama chochote kile anaweza letea Jimbo lake maendeleo ilihali nchi haina sera za Jimbo na jimbi linategemea sera za nchi. Hawa wabunge tunao wapigia chapuo kwa...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  11. Now and then

    JamiiForums Tanzania Naomba watu waliosoma na mbunge anayemaliza muda wake jimbo la Skonge, Joseph Kakunda watupe ukweli wa majina yake

    Huyu Mbunge anaitwa Joseph Kakunda ila yeye na familia yake, pamoja na ukoo mzima ni waislamu . Na yeye na watoto wake na familia ni waislamu ila yeye pekee anaitwa Joseph Kakunda . Nina mashaka Makubwa na Elimu yake. Naomba watu wanaomjua huyu jamaa watuambie majina yake halisi. Hatuwezi...
  12. mshale21

    JamiiForums Tanzania Je, kukosa akili, kuwa Chawa na kusifia viongozi ni vigezo vinavyofaa kuwa mbunge kupitia CCM badala ya uadilifu na utendakazi?

    Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM? Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASA tabu Kinyerezi, Nakala kwako Mbunge, RC, DC, Waziri na kwako Mh Rais

    - Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi. Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa yanatoka dakika 30 mara moja kwa mwezi,magari ya maji boza yanauza maji ya chumvi sh 24,000 lita...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dokezo: Nafasi ya Mbunge na Diwani katika Maendeleo ya Tanzania

    Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwepo na mwelekeo unaoonesha kwamba baadhi ya wabunge wanapewa majukumu yanayopita mipaka ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilwa Kaskazini; Mbunge anayemaliza muda wake avunjika mguu akisubiri usaili wa ubunge. Mtia nia mwingine afariki kwa ajali akienda kuchukua fomu

    Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Masheikh wengi wanatetea Amani,badala ya Haki?j wakati Mtu Muhamad S.A.W ilibidi kuitafuta Haki kwa upanga?

    Hiki kitu nimekuwa nikijiuliza sana Masheikh wengi wamekuwa wakitete Amani badala ya haki,huku ukiangalia kwa maksudi serikali na chama tawala haitaki kukubali kubadili baadhi ya vifungu vya katiba na sheria vya tume ya uchaguzi vitakavyotupeleka kwenye haki ya kumchagua kiongozi, siyo amani ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbunge wa Ulaya Valérie Hayer amepinga madai ya Lissu kuwekewa sumu

  19. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ya laana: why? Mbunge anayejua kusoma na kuandika 17,000,000/month, Tabibu (CO) laki 7! Mwalimu laki 4..............hala

    Nchi ya laana
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza akiwa amevalia nguo za CCM, Juni 30, 2025

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
Back
Top Bottom