mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Joyce Atieno aliyeenda kutizama mwili wa marehemu Ojwang ametimuliwa na vijana wenye hasira kali

    Waandamanaji na vijana wenye hasira kali wamemfukuza kwenye mochwari mbunge wa Wanawake wa Kaunti ya Homa Bay, Joyce Atieno, anayejulikana kama 'Bensouda'. Bensouda alikuwa ameendaa kutazama mwili wa mwalimu Albert Ojwang' aliyeuawa, na kabla hajaweza kuzungumza na waandishi wa habari, vijana...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

    Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Atunukiwa Tuzo Maalum na UWT Wilaya ya Kati, Zanzibar

    MBUNGE WANU AMEIR ATUNUKIWA TUZO MAALUM NA UWT WILAYA YA KATI, ZANZIBAR Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Unguja Kusini na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir ametunukiwa Tuzo Maalum na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

    Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!. Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo Viongozi wetu wa CCM na kunasiku Huyu anaweza kuwa Mbunge, Waziri hata Rahis. Ndo Uhalisia

    Huyu sasa ndo mwanaccm halisi, anafaa kuwa Diwani,Mbunge,Waziri na Rahisi. Anakuwa Rahisi kabisa na anaongoza watanzania hawa ambao hawana makuu.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juma Omar: Wanajeshi Wastaafu, tunapata Pensheni chini ya kima cha chini, mimi napata 140,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho. Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge Thea Ntara: Dawa za P2 zinatumika vibaya, Serikali ichukue hatua

    Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesema Serikali inatakiwa kuelekeza nguvu katika kudhibiti matumizi ya Dawa za P2 kwa maelezo kuwa zimekuwa na athari kubwa katika kizazi cha Wanaotumia ikiwemo kupata saratani ya uzazi, ujauzito kutoka, kutokwa na damu nyingi au kidogo. Amesema hayo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kanisa lake kufungiwa, kifuatacho ni kuvuliwa uanachama wa CCM na kukosa sifa za kuwa Mbunge ili asipate Mafao yake ya ubunge

    Baada ya Kanisa lake kupigwa pini ifuatacho kwa Askofu Josephate Gwajima ni kuvuliwa uanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) na kukosa sifa ya kuwa Mbunge Lengo la CCM na Serikali yake yake ni mkunyoosha Gwagima ili akose fedha na kumnyong'onyesha kiuchumi awe anyone asiwasemee wananchi...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sabalheri mbunge wangu Gwajima

    Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima. Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama upepo unapoelekea na wakati mwingine ulozi. Natambua Askofu kujishirikisha na mambo hayo ni kazi...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mbunge wangu hajawahi kuongea wala kutuliza swali lolote Bungeni Kwa miaka yote

    Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni, Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni, Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Chilo awasaidia wananchi wake Kukuna nazi na Kupeta Mchele

    Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu! Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanga-Kibaoni - Kilare road: Mbunge Ummy Mwalimu, 15 Billions zimeishia wapi?

    Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena KULIKONI?
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Picha ya mbunge bashiru bungeni inaweza kutupa nini kilichopo bungeni

    Hapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao. Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mbunge Erick shigongo:Grader limesafiri kwa miaka 4 kufika jimboni

    Naona sasa 2025 kila mtu wa ccm anaweza kuja na ukora wake. Huyu mbunge erick shigongo kwanza nilianza kumuona muongo na vitabu vyake kama kile cha raisi anamtaka mke wake. Sasa jimboni ana wadanganya kuwa greda lao limechukua miaka 4 kufika jimboni na lishafika kwa uchaguzi.
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mashimba Ndaki akabidhi Magari ya wagonjwa Malampaka na Mwabayanda jimboni mwake

    Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,mbunge Ndaki amewataka wananchi na waganga wafawidhi wa vituo hivyo kuyatunza magari hayo na kuyawekea...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa karne ya sasa, Mbunge ni vema awe na kisomo cha digrii ya kwanza

    Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo. Kweli Mhe. mbunge ambaye anajua...
Back
Top Bottom