mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Karani mwongoza wapiga kura anahitajika kuwa na elimu angalau kidato Cha nne ila Mbunge wa Bunge anahitajika kujua kusoma na kuandika pekee

    Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
  2. Jay One

    JamiiForums Tanzania Makonda kuwa Mbunge - Arusha mjini namuunga mkono kwa asilimia mia, na atapita kwa kishindo

    Wana JF habarini..!! Sio kawaida yangu ku post post thread humu JF kwa hivi karibuni, ila nimekuwa mchangiaji mkubwa kwa njia ya kutoa maoni kwenye thread zingine nyingi tu, ila leo moyo wangu umenituma toka ndani kabisa, nipaze sauti hii juu ya Makonda Christian. Mh. Makonda, mimi kada wa CCM...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Jimbo la Kilolo Justin Lazaro Nyamoga achukua fomu kuwania Ubunge kwa awamu nyingine

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilolo Mh Justin Lazaro Nyamoga mapema June 28 ameanza safari ya kutetea tiketi ya kuwania Ubunge kwa awamu nyingine Jimboni Kilolo Mh Nyamoga baada ya kuchukua fomu katika ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kilolo alielekea kanisani kumshukuru Mungu kwa zawadi...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tabora: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga, Seif Gulamali achukua fomu ya kuwania Ubunge

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Manonga wilayani Igunga, Seif Gulamali amejitosa tena kuchukua fumo ya kuwania nafasi hiyo. Gulamali amekabidhiwa fomu hiyo leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Igunga Mkoa wa Tabora na Ebenezer Ole Mainoya, Katibu wa CCM wilayani humo.
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge Salim autaka tena ubunge Jimbo la Ulanga

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga (2020 - 2025), Salim Alaudin Hasham amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo akiomba dhamana ya ubunge wa jimbo hilo 2025 - 2030. Baada ya kuchukua fomu hiyo Salim amesema, “Wana Ulanga wameona kazi nilizofanya kwa miaka mitano, na nimeitikia wito wao wa kutaka...
  6. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu, Njalu D. Silanga arudisha fomu ya kugombea ubunge

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu, Njalu D. Silanga amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Itilima jiioni ya leo June 28, 2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za Kuwa Mbunge zidi ya Faida na hasara za kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya

    Faida na Hasara za Kuwa Mbunge Faida 1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni. Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake. 2. Heshima na Umashuhuri Ana hadhi kubwa kijamii na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni Mbunge gani unatamani arudi bungeni baada ya Bunge kuvunjwa leo?

    BUNGE linavunjwa rasmi leo ni Mbunge gani ungetamani sana arudi Bungeni tena katika Bunge lijalo la Novemba? Mimi ninao wachache 1. Ndugai 2.Simbachawene 3.Mkumbo
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

    Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge . Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kila Aliyekuwa Mbunge Aulizwe Alifanya Nini Kuhusiana Na Watu Waliokuwa Wakimkosoa Rais, Kutekwa Na Kuuawa?

    Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi. Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika Bunge hili la Tulia, ambapo wabunge wote, kazi yao kubwa ilikuwa kumsifia Rais na Serikali dhidi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti MTR: Wanarufiji hatumdai Rais Samia, tunamkubali Mbunge wetu Mchengerwa atuletee maendeleo

    Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa waliyofanya katika kuwaletea maendeleo hakuna tunachowamdai Amesema hayo akiwa huko Kata ya Mkongo...
  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Arusha kuweni serious suala la Mbunge ajaye

    Kwa Daudi Bashite kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha sina shida kwa kuwa ni cheo cha uteuzi. Ila Arusha kuwa na Mbunge mwenye haiba ya Bashite ni kudhalilisha Jiji la Arusha na wananchi wake. Imagine mtu anapigiwa debe na WADUDU
  14. evangelical

    JamiiForums Tanzania Mbunge Erick Shigongo Afunga Koment kwenye Instagram yake

    Huyu mbunge Buchosa baada ya kuona ma post yake ya kijingajinga yanajibiwa huko Instagram kaamua kufunga kabisa na koment. Watu wa Buchosa inabidi mumfundishe adabu huyu aliyewazarau kwa kusema eti kuwatimiza ahadi ya kuwaletea tshirt
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mbunge wako ni nani? Unampa ngapi kati ya 10 kwa maendeleo aliyokuletea?

    Wakuu, Huko X kuna mjadala unaendelea umenivutia nimeona niwaletee huku Swali ni hili, Mbunge wako wa sasa ni nani, na kwa kipindi alichopo madarakani, unampa alama ngapi kati ya 10 kulingana na maendeleo ya kweli aliyoyafanya kwenye jimbo lako? Karibuni
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

    Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Anayetaka huduma za VIP alipie! Sio apewe kisa ameoa au kuolewa na Mbunge

    Wakuu, Hapa Majuzi Mbunge Musukuma alisema Bungeni kuwa wenza wa Wabunge wawe wanaruhusiwa kukaa VIP kama wenza wao. Nimependa hoja ya Mzee wa Kaliua (Oscar oscar) kwamba kila anayetaka ViP basi alipie, kwasababu tukiruhusu tu wenza kupata huduma hiyo, basi ipo Siku watoto wao na wajukuu wao...
Back
Top Bottom