Aliyekuwa Mbunge wa Wawi kupitia CUF na kuhamia CCM, Ahmedi Juma Ngwali naye arejeshwe bungeni

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
310
792
aliyekuwa Mbunge wa wawi kupitia CUF ndugu Ahmedi Juma Ngwali ambaye hivi karibuni mwezi wa march 2020 alihamia ccm naye pia arejeshwe Bungeni kama alifanyiwa cecil Mwambe

Soma > Zanzibar: Mbunge wa jimbo la wawi Mohammed Juma Ngwali (CUF) ajivua uanachama wake na kujiunga na CCM - JamiiForums

wawi.png
 
Dawa ni kutokubali haramu kukaa nayo bungeni. Baada ya Siku 14/Chadema wakirudi na kukuta haramu IPO bungeni wanatoka na kuwaachia bunge lao. Kesho yake wana saini wakiingia ndani wakimuona Mwambe wanatoka nje mpaka mwisho wa bunge.
Hivi waislamu wakienda msikitini nyumba tukufu wakikuta nguruwe ndani wataendelea na ibada eti kwa vile nguruwe huyo kaletwa na imamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom