mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Rais ndio anaamua nani awe mbunge, msinisumbue kupiga kura

    Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni. Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanaisha: Nikiwa mbunge mtapita bure daraja la Kigamboni

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuhakikisha wanapita kwenye daraja la Nyerere (maarufu kama Daraja la Kigamboni) hawalipi fedha yoyote endapo atachaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo. Ameyasema hayo Septemba 06, 2025 akiwa katika...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais (NLD): Mbunge analipwa mshahara wa millioni 12 uzalendo uko wapi?

    Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya wabunge wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hadi kufikia Milioni 1.5 huku Madaktari Bingwa wakipokea...
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Kwanza kupita bila 'Kupingwa' Malinyi ni chaguo la wanaccm au asiyetaka kustaafu?

    Jana 30/08/2025 wakati wa kampeni za CCM Mjini Morogoro, mgombea moja wa Ubunge , alidai na kushukuru kwa kupita bila kupingwa.
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika usawa huu ambao babalevo anaweza kuwa mbunge, mwambie mwanao anaweza kuwa chochote kile atakacho wish ilimradi alinde utimamu wake

  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani ya Miaka mitano. Ndio maana Watu wanapambana kwa nguvu zote kuupata Ubunge kama mambo yenyewe ni...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Michael Kimbaki aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini asema haungi mkono Ubunge kuwa na ukomo wa Miaka 10

    Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo. Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi MBUNGE si muwakilishi wa wananchi tena, na hatakiwi kuwa chaguo la wananchi tena bali sasa ni chaguo la watawala

    Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja ya kuleta majina huku ni kutupotezea muda na matumizi mabaya ya fedha muwe mnamaliza wenyewe huko...
  10. Griss

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwandiko wa Mbunge wa bunge la Tanzania!

    Mtunga Sheria? Mtu anayetakiwa kusimamia serikali bungeni?!! TISS mpo, tume ya uchaguzi mpo, CCM mpo? Je huyu anajua kusoma na kuandika ?
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa usiku, mchana uwe tayari kusikiliza wananchi

    Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi. "Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mpina aliitwa mbunge wa Taifa na Rais Akihito kumteua katika nafasi zake 10

    https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais? Kule Zaire Mobutu alikua na...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  15. Mangwea1900

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia au wanavyoleta maendeleo ya wananchi

    Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia/wanavyoleta maendeleo ya wananchi waliowachagua.
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zungu awashukuru wajumbe wa Ilala kwa kumpigia kura

    Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mpina kafanya kosa kubwa sana kuhama ACT. Aliyemkata jina CCM, ndio huyo huyo atakeyemkata kuwa Mbunge

    Ni Kweli MPINA Hauna Mpinzani KISESA hili liko wazi Ila ilikupasa ukubaliana na Ukweli kua chini ya SAMIA SULUHU hutakiwi kua Mbunge Kwa Namna yoyote Ile . Angetaka uwe Mbunge ,asingekukata, Angekubakisha CCM, ila alikukata Licha ya yeye kujua ukweli kua unakubalika. Kilichomfanya akukate...
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.

    Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao. Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina. Wao wamesema wanamtaka mbunge wao, hawapigi kura za maoni siku ya leo hadi waletewe mbunge wao. Hawana...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

    Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moshi Vijijini wamkataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake

    Wananchi katika mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Moshi, jimbo la Moshi Vijijini wamekataa mbunge anayemaliza muda wake kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kikamilifu. Akizungumza na wananchi amesema kuwa barabara hiyo haikuwepo kwenye mpango wa lami wa serikali, na baada ya diwani kuleta andiko na...
Back
Top Bottom