mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sigrada: Mimi ni mbunge wa wananchi, sina ubia na serikali

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo, ametoa wito kwa taasisi zote za Serikali na umma mkoani Njombe kushirikiana naye ili kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Akizungumza mara baada ya kurejea mkoani humo, Sigrada amewashukuru...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga ampongeza Mbunge wa Babati (V) Daniel Sillo kuwa Naibu spika wa Bunge

    Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Queen Sendiga, wamepongeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumchagua Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Daniel Sillo, kuwa Naibu Spika wa Bunge. Sendiga amesema kuaminiwa kwa Sillo ni heshima kubwa kwa...
  4. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Yule Mbunge kiziwi atachangia vipi mijadala bungeni?

    Habari wakuu… Lengo la uzi huu sio kumbananga mbunge kwa ulemavu wake. Lengo ni kuomba kufahamishwa namna ambavyo mbunge yule wa viti maalum kutokea Zanzibar ambaye ni kiziwi atakavyokuwa anashiriki mijadala bungeni na wabunge wenzake. Maana leo nimeona clio akiapa, naona kabisa kuna tatizo...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo aapa kuwa mbunge

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge apata kitete kwenye kuapa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Bumbwini, Unguja, Zanzibar Mhe. Mwinyi Jamal Ramadhan alipata taabu kuapa mbele ya wabunge wenzake, hali hii imetokea bungeni leo Novemba 12, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati zoezi la uapisho kwa wabunge likiendelea.
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge mteule Viti Maalum, Mwanaenzi Hassan Suluhu ala kiapo bungeni tayari kulitumikia Taifa

    Mbunge Mteule wa Viti Maalum Zanzibar Mwanaenzi Hassan Suluhu, leo Novemba 12, 2025 katika Bunge la 13 Mkutano wa kwanza kikao cha pili Jijini Dodoma, amekula kiapo kulitumia Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kikamilifu
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitakuwa mbunge tofauti na waliyozoea

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema Watanzania watashuhudia aina ya ubunge tofauti na waliyozoea. Chipando amesema watu wengi huamini kuwa wabunge hubadilika wanapopata madaraka na kujiona kama “mabosi”, lakini kwake itakuwa tofauti, kwani...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Agnes Mathew Marwa aapishwa kuwa mbunge wa bunge la 13

    AGNES MATHEW MARWA AAPISHWA KUWA MBUNGE WA BUNGE LA 13 Dodoma – Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Agnes Mathew Marwa, ameapishwa rasmi leo tarehe 11 Novemba 2025 kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiapo hicho kimefanyika katika kikao cha...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ado Shaibu ala kiapo bungeni

    Mbunge wa Jimbo laTunduru kaskazini akila kiapo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025. Ikumbukwe Ado Shaibu ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani kutoka ACT-Wazalendo walioshinda katika kinyanganyiro batili cha...
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulia kuanza kupata mafao kama Spika Mstaafu, sasa ni mbunge na bado hajateuliwa kuwa Waziri! Halafu bado kuna mtu hataki mabadiliko!

    Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The Political Service Retirement Benefits Act (Cap. 225)]. Mafao hayo yanajumuisha: Kiinua mgongo ambacho...
  13. gTurn

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge ulichaguliwa kimagumashi ukienda bungeni hamia kabisa mle ndani na familia yako

    Misiseme sikuwambia Kuna taarifa nimepata kiukweli watu wameumizwa enyi wabunge magumashi msije kuwalaumu watu Kwa majutoo
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta: Kwa miaka kumi Segerea ni kama haikuwa na Mbunge

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza: Rais Mama Samia alisema mimi kama mwanamke lazima nimtue mwanamke wa kata ya Kisulu ndoo kichwani kwa kumpelekea maji

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia CHAUMMA, Agnesta Kaiza, ametambua changamoto kubwa zinazowakabili wakazi wa kata ya Kisukuru ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama pamoja na ubovu wa miundombinu ya barabara. Akizungumza katika muendelezo wa kampeni zake, Agnesta amesema hali hiyo...
  16. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wetu mtarajiwa Godfrey wa kawe

    Pongezi kwako mbunge mtarajiwa tunaomba barabara ziwekwe lami ila kwa kuanzia zichongwe na greda tunakufa na barabara mbovu sana . Wenzetu wote mitaa yao imechongwa hata salasala magengeni amahoro kumechongwa. Maeneo haya ya mbezibeach B hayachongwa kabisa tunashanga tatizo ni nini. Mtafanya...
  17. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkichagua Mbunge wa Upinzani hamtaona Maendeleo

    Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa baada ya kueneza Uchochezi huko Uingereza!!!

    Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema: "Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi...
  20. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
Back
Top Bottom