mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanga: Mbunge wa zamani Bumbuli, wenzake waachiwa huru na mahakama

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tanga imewaachia huru wakurugenzi sita wa bodi ya kiwanda cha chai cha Mponde Tea Estate akiwamo mbunge wa zamani wa Bumbuli, William Shelukindo. Wameachiwa baada ya ofisi ya Taifa ya mashtaka kufuta mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakiwakabili ikieleza...
  2. Tujikumbushe: Lissu ni Mshindi

    TUNDU LISU NI MSHINDI Na, Robert Heriel Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada wakituhadithia simulizi za kwenye misahafu kwa habari ya mambo yaliyopita miaka ya kale. Wote...
  3. Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    George Michael Uledi. Tabora, Tanzania. June, 2021 Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake...
  4. Wananchi wamjia juu Mbunge anayesema posho, mishahara yao haitoishi

    Wananchi wamjia juu mbunge anayesema posho, mishahara yao haitoishi Dar es Salaam. Siku mbili baada ya mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga kusema mshahara na posho za mbunge hazitoshi, watu wa kada mbalimbali wamemjia juu. Wakitoa maoni yao katika mtandao wa kijamii wa Instagram wa...
  5. S

    Napendekeza tuwe na Mbunge mmoja tu kila mkoa. Halafu walipwe 50M kwa mwezi.

    Sioni sababu ya kuwa na wabunge 393 ktk nchi maskini kama hii. Halafu tija yao mm binafsi siioni kabisa japo ni wengi kiasi hicho. Kwann tusiwe na mbunge mmoja tu toka kila mkoa? Huyu awe anahushuria vikao vya RCC na kupokea mihutasari ya vikao vya madiwani toka halmashauri zote ktk mkoa husika...
  6. P

    Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

    Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani. Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali. Majibu ya naibu waziri...
  7. Katibu Mkuu CCM usimtishe Mbunge, tunaomba uishauri Serikali Wabunge wote na viongozi waanze kukatwa kodi

    MBUNGE AACHIE JIMBO! Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbongwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohijiwa na gazeti...
  8. Mbunge aliyedai waongezewe mshahara atakiwa aachie jimbo, CCM nao watoa kauli

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga kama anataka kuhudumia wananchi afuate utaratibu wa nchi na akitaka kulipwa kwa dola ahamie katika nchi zinazofanya hivyo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aliopohojiwa na gazeti la Nipashe Kwa upande...
  9. S

    Malalamiko ya mbunge wa Mbogwe yasipuuzwe. Anadai wanalipwa mil 3.8. Hataki kufanya ujanja ujanja kama wabunge wengine. Ni ujanja gani?

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge. Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu. Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
  10. Mbunge alipwe mshahara na Wananchi wa Jimbo lake

    Kumezuka mjadala kuhusu mishahara ya Wabunge na Posho zake, ambapo wabunge wanalalamika kuwa wanalipwa pesa kidogo na huku wananchi wakilalamika kuwa kodi zao zinachezewa bure ili kuwalipa wabunge mishahara mikubwa na posho zisizokuwa na kichwa wala mkia. Sasa ili kukata mzizi wa fitina, ni...
  11. Dodoma: Nicodamus Maganga (Mbunge) adai Mishahara na Posho haiwatoshi Wabunge. Ashangiliwa...

    "Kuna manung'uniko maslahi ya Wabunge ni kidogo, wakati sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha, nimeangalia Mabunge mengine wanalipa kwa dola, tusiwaogope Wananchi kwenye Ubunge hakuna kitu tunatukanwa tu mitandaoni”—-Mbunge wa Mbogwe, Maganga ==== Dodoma. Mbunge wa Mbogwe...
  12. P

    Bungeni: Mayenga (Mbunge wa CCM) amsimanga Halima Mdee na wenzake 18 bila huruma

    Halima Mdee nje na ndani ya ukumbi unasutwa. Hata uongee point vipi ni pointless. Kusutwa na mwanamke mwenzio ni aibu. Ushauri wangu Jiuzulu Ubunge, kaombe msamaha kwenye chama chako. Ndugai 2025 ni mstaafu, nani atakukingia. Mh LUCY MAYENGA Hongera sana kwa kusema ukweli na kuonyesha wazi...
  13. Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
  14. Sikubaliani na suala la Mbunge kuteuliwa kuwa Waziri

    Ilitakiwa iwe hivi. Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya uwaziri. Kwani mbunge kuwa waziri unamfanya kuwa na vyeo viwili hiyo ni poor allocation of employment...
  15. INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

    Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ??? Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na...
  16. Nitamuita Shujaa wa Taifa Mbunge yeyote atakayependekeza kodi kwa Wabunge

    Kwa kweli wananchi wa Tanzania hasa wafanyakazi wa serikali wamesota sana kwa miaka 6 iliyopita. Kuiishi miaka yote hiyo bila kuongezewa mshahara wakati ghalama za maisha zikiendelea kupanda kwa kweli siyo mchezo. Hapa lazima tuwapongeze hawa wafanyakazi. ingekuwa nchi za wenzetu has kama za...
  17. Mbunge Mwinyi: Kilimo na Ubunifu havijapewa support ipasavyo kwenye Bajeti ya Serikali

    Mbunge Abdullah Mwinyi amesema Bajeti ya Serikali haijaunga mkono ipasavyo Sekta za Kilimo na Ubunifu ambazo zinategemea kuwapa Ajira nyingi kwa Watanzania. Akichangia majadiliano Bungeni amesema, "Lazima turuhusu Ubunifu ustawi na tuulee, sekta hiyo kwa Tanzania ukilinganisha na Afrika...
  18. Kibonzo: Ukitaka kula mema ya nchi kuwa mbunge

    Mishahara yao haikatwi kodi, wanapata kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano pasi kuchangia mfuko wa jamii. Tena mafao yao yanatoka kwa wakati stahiki hakuna njoo kesho.
  19. M

    Hamis Tabasamu, Mbunge wa Sengerema usichokoze hisia za watu

    Leo wakati Rais wa Tanzania akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza, aliongea na kundi muhimu sana katika jamii yoyote ile (vijana) Mh Rais aliwataka wabunge waliokuepo eneo hilo anhalau watoe salam. Mbunge wa Sengerema ndugu Tabasamu amewaambia vijana eti wasome waelewe ila serikalini hakuna...
  20. Mbunge Munde Tambwe: Fedha zinazokusanywa na Serikali sio kwa ajili ya kulipana posho

    Mbunge Munde Tambwe amemuomba Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kuhakikisha Fedha zinazokusanywa na Serikali zinaelekezwa kwenye Maendeleo badala ya kulipana posho. Akizungumza katika majadiliano ya Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 amesema, "Pesa hizi wazipeleke zikafanye kazi ya kuwakomboa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…