Waswahili walisema msafiri alikiri "mwenda pole hajikwai" alaa akijikwaa haanguki na kama akianguka kuumia kwake ni kidogo tu.
Usemi huu ni matokeo ya uzoefu wa safari ndefu ya maisha ya babu zetu walioishi miongo na Karne zilizopita nasi twauishi na kuakisi uzoefu wa maisha hayo kwakuwa hakuna...