mbowe

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kesi dhidi ya Mbowe kuanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua za awali Agosti 23, 2021

  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    Kwanz kabisa napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba, ambae ni muweza wa visivyowezwa. Ama baada ya salam napenda nijielekeze katika mada yangu ili kila mwenye uwezo thabiti wa kuchangia aweze kuchangia. Mada hii ni nzito na inawafaa zaidi wale ambao akili zao zipo huru, hazijafungwa wala...
  3. JamiiForums Tanzania Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la. ======== Waziri wa Mambo ya Nje...
  4. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi dhidi ya Mbowe: DPP awasalisha maelezo yake Mahakama Kuu, yapewa namba ya usajili 16/2021, kuendelea 23/8/2021

    Hii hapa ndio taarifa ya Chadema iliyotolewa leo
  5. JamiiForums Tanzania Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  6. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma mimi Mwananchi ni jasho langu kuwatajirisha wanasiasa

    Kinachoniuma mimi ni hela za jasho langu ndizo zinazowapa utajiri wanasiasa. Yaani mavazi ya raisi, safari za nje za raisi, magari ya wabunge na mishahara ya wabunge vyote ni jasho la wananchi. Lakini kama hiyo haitoshi, tumeongezewa kodi na tozo nyingine ambazo nazo zitaliwa na wanasiasa...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Freeman Mbowe ni gaidi

    Nitakuwa wa mwisho kwa akili zangu kuamini kua Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe Freeman Mbowe ni GAIDI kwa sababu zilizo wazi kabisa. Mbowe hana chembe chembe za ugaidi na ni ajabu kuamini eti yeye ni gaidi. Sababu za kunifanya niamini kua Mbowe si gaidi ni hizi: 1. Mbowe ndiye kiongozi pekee...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa watumia mbinu za hayati Magufuli. Wawataka wanachama wao wamuombee Freeman Mbowe

    Binafsi ningeviomba vyombo husika viwaache wanachama wa CHADEMA waendelee kumuombea mpendwa wao ambaye ni mwenyekiti wa chama chao mh Freeman Mbowe aliyeko mahabusu ukonga. Kwetu Wakristo kuombea wagonjwa na wafungwa ni sehemu ya ibada. Nakumbuka hayati Magufuli tulikuwa tukimuombea. Mungu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa akamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuhamasisha maombi kwa ajili ya Mbowe

    Hii ndiyo Taarifa ya hujuma mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa , kwamba David Chiduo ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kilosa amekamatwa na kuwekwa selo kwa Tuhuma za kuhamasisha maombi kwa wanachama wa Chadema wa Wilaya hiyo kwa ajili ya kumuombea Freeman Mbowe , aliyewekwa gerezani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya na Mbowe ni makutano

    Habari watanzania, watanzania wapenda amani. Leo Jtatu nimeona nisiwache wanyonge hivi ni bora nitie neno kidogo kwenye hili Sakata la Mbowe sambamba na Sabaya. Maneno yapo mengi ya kusema lakini maneno bora nayoyaona ni haya “ HISTORY REPEAT ITSELF UNTIL LEARNED”. Msingi wa kuchukua msemo huo...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Mwanza mbaroni kwa sababu ya kumuombea Kamanda Mbowe

    Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea mwenyekiti wa chama Mhe. @freemanmbowetz Tutaendelea kufuatilia tutatoa taarifa zaidi. https://t.co/P7Euv1cI2S
  14. JamiiForums Tanzania IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

    ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI” Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana. Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kesi ya Mbowe ni ya kitaifa au kimataifa?

    Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe. Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo. Ndio nauliza hii kesi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Hivi sabaya akisema kwamba "Hata mbowe alishinda ila nilitumwa nihakikishe anatangazwa wa ccm"! Itakuwaje.

    Nimewaza tu jamani. Mana sabaya anajua siri nyingi sana na katika watu waliokuwa hawajulikani au watu wasiojulikana wajati ule tayari yeye ni mmoja wao na amejifunua tayari
  18. JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  19. JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe wafungua kesi kuhusu Taasisi moja Kubwa nchini kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Hayo yamesemwa na Wakili Msomi Peter Kibatala alipokuwa anaongea na Wanahabari Mahakamani Kisutu, ambapo amedai kauli ya Taasisi hiyo inachukuliwa na Washitakiwa kama hitimisho la kesi yao kutokana na ukubwa wa Taasisi iliyofanya hivyo. Wanaomba jambo lililofanywa na Taasisi hiyo kubwa likapate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…