If Mbowe had never do anything, say anything or be nothing he could never be called a terrorist

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1629649531491.png
 
Had never do anything! Kiingereza kimekaa kinyumbunyumbu

Had never done siyo do.
Siku nyingine andika kiswahili hutaonekana mshamba.
 
Had never do anything! Kiingereza kimekaa kinyumbunyumbu

Had never done siyo do.
Siku nyingine andika kiswahili hutaonekana mshamba.
Actually kuna kachumbari ya kutosha kwenye hizo sentensi. Ninafikiri ingependeza zaidi angesema:

"Had Mbowe said or done nothing, or had he been (a) nobody; he would have never been called a terrorist."

Lugha ngumu hii. 😁

Anyways, lengo la Lugha ni mawasiliano, nasi tumemwelewa.
 
Back
Top Bottom