mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya udikteta na busara. Mh Mbowe si dikteta

    Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na maneno mengi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA unaofanyika katikati ya mwezi huu. Wapo watu wanaotafusiri kitendo cha Mh Mbowe kugombea tena kama ni UDIKTETA. Wanaozungumza hili ni wale wanaojielekeza kwenye tafsiri shambulizi ya demokrasia. Ninadhani ni...
  2. JamiiForums Tanzania Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

    Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe shikilia hapo hapo, CHADEMA can't be for dogs!

    Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere alipoona nguvu ya Mrema ilivokuwa na ombwe lililokuwepo ktk uongozi wa nchi!Aliamua kusimama kidete kunusuru nchi.(sio CCM) na kumpigis Kampeni ya nguvu BWM na hatmaye akawa Rais. Mwalimu alitumia msemo wa Kingereza tafsiri siwezi kukaa Butiama na kuiacha nchi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameishinda kauli ya kusema "vyama vya upinzani ni vyama vya msimu"

    Tangu mfumo wa vyama vingi uanze hapa nchini,tumekuwa na vyama kadhaa ambavyo kwa nyakati tofauti vilikuwa ni vyama vikuu vya upinzani(vyama vyenye nguvu) kama vile NCCR-MAGEUZI chini ya Lyatonga Mrema na baadae CUF chini ya Prof.Lipumba. Historia inaonyesha kuporomoka kwa vyama hivi, ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta

    Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama. Ghafla maswali machache yanaibuka: Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yawavuruga Chadema waona ni heri muasisi mtendaji pekee mzee Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti

    Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti. Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  8. S

    JamiiForums Tanzania "Hakuna umoja wa wenye njaa". Kwa nyakati hizi nje ya Mbowe, Sumaye angefaa sana kuwa m/kiti CHADEMA

    Kuna usemi kwamba "hakuna umoja wa wenye njaa". Usemi huu unamaanisha kwamba mtu mwenye chakula akipita karibu na watu ambao wako pamoja lkn wana njaa watasambaratika kwa kasi ya kimbunga. CHADEMA ni umoja wa watu wa wenye njaa, maana hakuna nafasi za uteuzi/vyeo. Wakati ambapo CCM kuna nafasi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Mzee Fredrick Sumaye warudisha fomu za kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Hatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano. Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku...
  10. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la maswali yenye facts Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?. Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani...
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe asitumie ukubwa wa jina lake kushinda uchaguzi CHADEMA

    Wanachama wengi wa chadema wanamwangalia mbowe kwenye mazuri aliyofanya tu bila kuangalia sehemu alikoshindwa kama 1: Kushindwa kuchukua hatua kali za kichama kupinga kuzuiwa kwa mikutano na mahandamano ya vyama vya siasa. 2: Kutokuwa na ofisi za kujenga majengo mengi wanapanga nilitegemea...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Lissu na Mbowe nani imara kuiimarisha CHADEMA?

    Tumeona kazi nzuri ya Mheshimiwa Freeman Alikael Mbowe, ni kazi safi sana ambayo imeweza Kuijenga Chadema katika kipindi kirefu zaid, Yaweza kuwa uimara wa Mbowe au udhaifu wa mpinzani wake wa kipindi anapata Uenyekiti namaanisha Mpinzani mkuu wa CHADEMA alikuwa CCM, Mazuri ya Mbowe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

    Ni Jumatano tulivu.Kukiwa na maandalizi ya tukio kubwa la kisiasa kwa siasa za Tanzania. Vijana wa CHADEMA katika majimbo yote 10 ya mkoa wa DSM watakwenda kumuomba rasmi Freeman Mbowe agombee kwa mara nyingine Uenyekiti wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari Mratibu wa kampeni ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya viongozi wa CHADEMA yaahirishwa baada ya Mbowe kuugua Dengue

    Hakimu Simba wa Mahakama ya Kisutu amehairisha kesi inayowakabili viongozi wa Chadema baada ya mmoja wa washtakiwa mh Mbowe kuugua ugonjwa wa Dengue. Source ITV habari ========== Kesi inayowakabili viongozi tisa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania imeshindwa kuendelea kwa hatua ya...
  16. JamiiForums Tanzania Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

    Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili. Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA: Anthony Komu ataka Mbowe apishe uenyekiti

    Uchaguzi wa ndani CHADEMA Wabunge na Mameya CHADEMA wamuunga mkono Mbunge wa jimbo la Ndanda Mhe Cecil David Mwambe kuchukua fomu ya uenyekiti wa CHADEMA taifa kumrithi Mbowe. Kwa taarifa kutoka moja ya wabunge wanaomuunga mkono anasema wamemchangia shilingi milioni 25. Anasema katika kikao...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

    Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa ushauri sio tu kwa Mbowe. Watu wote wenye mamlaka ya kiuongozi jaribuni kuwa mnatoka na kwenda...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe atapita, CHADEMA waulizwe wana nia na dhumuni lipi la Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha? Je, hawatabadili katiba watawale maisha wakishinda?

    Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya uchaguzi. Kususia uchaguzi na chama kupita bila kupingwa ni uchafuzi kwa mantiki yao. Tuachane na hayo kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo. Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…