CCM,wakati mkimshambulia Mbowe,tupeni mrejesho wa hatua zilizochukuliwa kwa waliobainika kupora mali za chama kama ile tume mliounda ilivyobainisha

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Nakumbuka mliunda tume/kamati kuchunguza mali za chama chenu na kamati ile ilikuja na tuhuma kadha juu namna mali za chama zilivyofisadiwa na baadhi ya viongozi wa chama chenu.

Sasa wakati mkitumia nguvu nyingi kumshambulia Mbowe,tupeni mrejesho wa hatua mlizochukuwa kwa watuhumiwa.

Polepole na wenzako tunaomba mjitokeze mbele ya media mtupe mrejesho.

Msifikiri tumesahau.

Charity begins at home.
 
Ni jambo la aibu sana chama kikukuu kama ccm kukosa hoja wanadandia kurubuni kina Lijuakali ingekuwa kuna la maana walivyo na chuki na Mbowe na CDM wangemtumia Mashinji wanae na ni Key accounting officer Ex CDM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom