Mbowe kaumizwa sana, kufanyiwa oparesheni

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
"Leo asubuhi nilikuwa miongoni mwa viongozi na maafisa wa Chama tuliofika kumjulia hali Mh Mwenyekiti Freeman A. Mbowe. Pamoja nami alikuwepo Mh. Godbless Lema Mbunge na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, James Mbowe na Aallan Bujo.

Mwenyekiti wetu kaumizwa sana, kaumizwa sana, Tumuombee kama ni oparesheni na matibabu mengine yaende salama apone haraka.

Mwenyekiti wetu kaumizwa sana, Wanaoendeleza porojo kuwa alilewa akateleza na kuanguka wapuuzeni, Jeshi la Polisi ikiwa litakuwa na dhamira ya kuchunguza jambo hili naamini halitaacha kuwahoji wapotoshaji hawa wakiongozwa na Job Ndugai, Lusinde, Lijualikali, Silinde nk.

Uzuri Mbowe hajafa, akili yake na Moyo wake ni nzima isipokuwa mwili ndio umeumizwa. Hivyo uzushi wowote unaofanywa na makundi toka ccm watambue Mbowe anazungumza na akili yake iko vizuri.

Na Yericko Nyerere"
IMG_20200610_155852_937.jpg
 
Mungu awalipe kwa kuwapa pigo takatifu mpaka wajute kwani wamejisahau sana kufikia hatua ya kusahau kuwa kuna Mungu.

Wamebakiza hatua ya kupiga teke na kutemea mate maiti za wale wenye itikadi tofauti na wao, huku kwingine wameshamaliza.

Anaekukejeli ukiwa kitandani,atashindwa kupiga teke mwili au jeneza lako akipata nafasi?

Kuna watakaokwenda kumuona kinafiki na kutoa chchote huku rohoni wakifurahia na pengine wakimuombea mabaya zaidi.

Hawa si watu ndugu zangu japo wanatembea kwa miguu miwili kama wanadamu.
 
Leo ni siku ya 3, ccm hawana uvumilivu huo wangeshaweka. Wanaendeleza uzushi na kwa vile bunge limekuwa kama mkusanyiko wa kuku wenye Mdondo basi ni vicheko kama wako klabu ya Wanzuki.

Bungeni huko Ubinadmu ulisha wekwa pembeni ,maslahi kwanza na madhara ya maslahi na kuacha Akili zako na kutumika.
 
Kaumizwa sana kimoyi?
Kiroho?
Kimwili?
Kipesa?

Mbona hufafanui, wewe sio daktari ebu toa diagnosis ya hayo maumivu?

Eti maafisa wa chadema duh!
 
Back
Top Bottom