mbowe

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ole Sabaya anategemewa na CCM kumng'oa Mbowe jimbo la Hai

    Mwaka huu mwanzoni kabisa niliwaambia kuwa Jimbo la Hai ni mojawapo ya Jimbo ambalo litavuta hisia za Siasa za Tanzania, hapa hakuna kulala, ni mwendo wa mahuburi, ngumi na jino kwa jino. Hii Ni kutokana na umuhimu wa Jimbo hili kwa Upinzani na kwa CCM. Kwa Upinzani ndipo anapotokea Mbowe ambaye...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kituo kinachofuata ni Jimbo la Hai, Mbowe awahi kumpokea

    Endeleeni kutufuatilia kupitia hapa hapa JF ili kujipatia taarifa za uhakika bila kuchuja chochote . Jingine la kufurahisha ni kwamba Mwamba Mbowe tayari kishatua Hai ili kuandaa mazingira salama ya ujio wa Game changer Tundu Lissu
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sijamwona Freeman Mbowe hapa ibadani

    Labda bado yuko jimboni kwake Hai anasheherekea ushindi wa kura za maoni. Nyakati nyingine hudaiwa Mbowe huwa hapati mialiko lakini ibada haina mwaliko, mimi na mzee Mgaya tupo ibadani. Nawatakia Dominica yenye baraka. Maendeleo hayana vyama
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe apitishwa kugombea Ubunge Jimbo la Hai kwa 99%

    Mbunge wa milele wa jimbo la Hai Mh Freeman Mbowe ( Mwamba Tuvushe ), leo tena amepitishwa na wajumbe wa CHADEMA wa mkutano mkuu wa jimbo hilo ili kugombea tena Jimbo hilo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe ana laana mbaya sana na ambayo itamgusa mpaka Baba Mwenye Nyumba

    Hakika huyu ndugu ana laana mbaya sana kwani karibu asilimia 99 ya waliojiondoa CHADEMA huku wakimrushia mzigo wa tuhuma karibu wote wameanguka katika kura za maoni. Ni imani yangu hata yule mmoja aliesalimika kwa ushindi wa kura moja, nae atakwenda kuvuna aibu katika uchaguzi mwezi Oktoba...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hiki analichokifanya Freeman Mbowe ameshindwa tu kuwa muwazi kama TLP

    Habari wanaJamiiForums, Siasa nzuri pale mmoja wao akiwahi kusoma akama za nyakati halisi. Na hili nimesisitiza sana huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kama atasoma nyakati vyema apumzike kugombea uraisi Else atakutana na aibu kubwa kilichofanyika ni sawa na kusema CHADEMA...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Laiti wanasiasa wote wangekuwa na ustaarabu na ukomavu kama Mbowe

    Hakika Mbowe ni Jabali la Siasa Tanzania. Mbowe ni mwanasiasa makini sana hasa anapojenga hoja zake iwe bungeni au hata nje ya Bunge. Amekuwa mtulivu pasi na visasi au kujibizana hata anapokashifiwa au kutukanwa na wanasiasa wasioweza kujenga hoja na kukimbilia personal attacks. Mifano ni...
  10. JamiiForums Tanzania John Heche anastahili kuwa Mwenyekiti ajaye baada ya Kamanda Mbowe

    Tena hata sasa amechelewa. Yeye ndio alipaswa kuwa mwenyekiti hata sasa, ila Mbowe alilazimisha kuendelea kuwa mwenyekiti.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mlinzi wa Mbowe achukua fomu kugombea Udiwani kupitia CCM

    Aliyekuwa mlinzi mkuu wa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amechukua fomu za kugombea Udiwani kupitia CCM katika kata ya Mbezi Juu. Source EATV!
  12. JamiiForums Tanzania Alivyovumilia maswahibu mengi ya kushangaza, Mbowe anapaswa aheshimiwe

    Kwa namna bwana mkubwa huyo alivyo vumilia maswahibu mengi ya kushangaza ni wazi pamoja na kwamba ni mpinzani kwa hakika anayo haki ya kuheshimiwa na watu wote wapenda amani. Mbowe ni kiongozi mvumilivu na wa kupigiwa mfano! Kuna wakati huwa najiuliza ingekuwaje mtu kama Tundu Lissu, Heche...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbowe achukua fomu kugombea ubunge Moshi mjini kupitia CHADEMA

    James Mbowe, mtoto wa kaka wa mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Freeman yeye alishatangaza kutetea kiti chake jimboni Hai mkoa huo huo wa Kilimanjaro. Source: Ayo tv Maendeleo hayana vyama!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Nyalandu walitia nia ya kugombea urais katika mji mtakatifu Yerusalemu, nafasi ya Lisu kupitishwa ni ndogo!

    Kiukweli nafasi ya Tundu Lisu kupitishwa na Chadema kuwa mgombea urais ni ndogo sana. Washindani wa Lisu mh Mbowe na Nyalandu waliwahi kwenda katika hekalu la mfalme Suleiman mjini Yerusalemu ambako waliweka nia zao mbele ya Mwenyezi Mungu. Nyalandu alisema wakati wanaweka nia zao kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Yapo mambo wanasiasa husitiriana. Mfano ni ajali iliyomuumiza mguu ndugu Mbowe

    Kwa kweli kwa hilo la mguu wa Mbowe linafikirisha mno! Ukweli ni kwamba wana siasa ni binadamu kama wengine na huamua pia kusitiriana kwa mambo kadha wa kadha ambayo kwao ni ya aibu. Mfano: Kuumia kwa mguu wa ndugu Mbowe ni wazi vyombo vya dola vimeaswa na kuelekezwa viachane nalo kwa sababu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 3: Lazaro Nyalandu achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, asema watahakikisha mechi wanaipeleka sawasawa

    Lazaro Nyalandu yuko live Clouds tv akiweka wazi mipango yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa JMT. Maendeleo hayana vyama! ======= Nyalandu: Mbowe ni mtu ambae amestahimili, amepambana na amekuwa muaminifu kwa chama hiki. Amekuwa ni kiongozi ambae ni mfano wa kuigwa na historia itamkumbuka...
  17. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA ili iwe na nguvu kwenye kampeni imsimashe Mbowe

    Habar wadau Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa Kwanini nasema CHADEMA wamsimamishe Mbowe kwenye uchaguzi ujao kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni kwa sababu Mbowe...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama Mbowe anataka Membe ndio agombee urais ina maana hamuamini kabisa Tundu Lisu!

    Hii haijakaa sawa kwamba Tundu Lisu ameshalipia fomu na anazijaza ili atakaporejea aziwasilishe kwa kishindo naye Mbowe anaanza mazungumzo ya kumshawishi Membe aje agombee. Najaribu kujiuliza, kama uongozi wa juu unamtaka Membe kwanini mnawauzia fomu wagombea wengine ambao hawahitajiki? Naomba...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

    Dudley Mbowe, mtoto wa kiume wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman A. Mbowe amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospital ya Aga Khan, Dar es Salaam baada ya kuumia vibaya kichwani. Kijana huyo jana alifanyiwa operesheni ya kichwa na inaelezwa hali yake ni mbaya. Sababu za...
  20. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana CHADEMA tuwe tayari kwa lolote; Lissu, Mbowe, Nyalandu, Membe na gia za angani ikilazimika zisiwayumbishe tusimame pamoja

    Mnajua jinsi awamu ya 5 "ilivyofanikiwa" kwa kutumia propaganda pekee. Leo hii Magufuli angekataliwa kugombea CCM sio ajabu angejiunga CHADEMA na kutimiza ndoto yake. Siasa ndivyo zilivyo, tuwe tayari kwa lolote hata kama ni "kubadilisha gia angani" kama inatusaidia sawa. Magufuli ametumia kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…