mbowe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbowe: Je, mbunge anaapa mbele ya Spika au anaapishwa na Spika mbele ya Bunge?

    Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri. Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa. Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika. Mbowe ambaye ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndiye kiongozi pekee wa upinzani ambaye wabunge wake zaidi ya 20% walihamia CCM

    Kwanini ni CHADEMA tu chini ya Mbowe ndio wabunge wake hutamani sana kuitumikia CCM. Hebu fikiria katika bunge la 11 zaidi ya 20% ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA walikimbilia CCM, hili siyo jambo dogo kabisa. Hapo CHADEMA kuna biashara gani. Morrison funga hao Nigeria. Maendeleo hayana...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe alimleta Lowassa, akamleta Dkt. Mashinji, akampa Bulaya "unadhimu" Bungeni na Kamati Kuu ikabariki baadaye, hata Wabunge watabarikiwa!

    Ndani ya CHADEMA, Mbowe wanamwita " MWAMBA" na ni mwamba kweli kweli kama Petro. Hakuna jambo lililetwa na Mbowe au liliamuliwa awali na Mbowe kamati kuu ya CHADEMA ikagoma kulibariki. Hata kesho tarehe 27/11/2020 siku ya Ijumaa saa 3.00 asubuhi Halima James Mdee akiithibitishia kamati kuu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

    Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana. Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  8. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) na kisa cha asiyefanya kazi na asile

    Na Mwamba wa Kaskazini Nianze kwa kongole kwa Mbunge wangu kipenzi Halima Mdee na wenzake waliokubali kutimiza haki yao ya kikatiba leo kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum (CHADEMA) kwenye Bunge la JMT. Wabunge hao takribani 19 wa CHADEMA wameapishwa leo wakati mambo mawili...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  10. JamiiForums Tanzania Habib Mchange: CHADEMA wanavunja Katiba kutopeleka Wabunge wa Viti Maalum. Ataka Rungu la Msajili wa Vyama liwashukie

    Habib Mchange: Nitashangaa sana kama wanawake wa CHADEMA wataendelea kuburuzwa na wanaume kwenye chama kuhusu mambo yanayowahusu. Viti maalum sio suala la hisani ya Mbowe, Mnyika wala sio suala ya hisani ya Magufuli, ni jambo la kiharakati, Wanawake wamepigania usawa kwenye vyombo vya maamuzi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Je, Freeman Mbowe akiteuliwa na Rais kuwa mbunge atakataa au mnawabania tu wabunge wa BAWACHA?

    Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya CHADEMA itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha? Ni hako kaswali tu makamanda. Maendeleo hayana vyama!
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria. Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tumeitikia wito wa kuripoti Polisi lakini hatujui zoezi hili litaisha lini, tumetimiza wajibu!

    Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob. Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao wametimiza wajibu wao wa kuripoti polisi ila kujua kinachoendelea waulizeni polisi. Mbowe amesema...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe umetia aibu. Jiuzulu, umeporwa jimbo kizembe

    Amani iwe kwenu wajumbe! Tunaposema upinzani katika nchi hii bado sana ieleweke kwamba bado mbichi kweli kweli hata uwezo wa kuendesha nchi bado. Mbowe kama kiongozi Mkuu wa kambi Rasmi ya upinzani na Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha upinzani ulitakiwa kukataa hila za wazi wazi za Bwana mdogo...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

    BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wameachiwa kwa dhamana - Mwanasheria wao ameithibitishia JamiiForums
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe anastahili heshima

    Katika viongozi ambao wamepitia katika changamoto nyingi miaka mitano iliyopita ni Freeman Mbowe anashika nafasi ya pili baada ya Tundu Lissu. Tukianza na kwamba ameharibiwa biashara zake. Wamemvunjia Club Bilcanas, Mashamba yake Hai na wamelifungia gazeti lake. Tukumbuke mwaka 2018 yeye na...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Mbowe, Mungu atakulipia yote

    Salaam, Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara. Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

    UPDATE "Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM. ===== Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

    Ndugu zangu, Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia. Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha! Kama hawata kaa chini...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ya Freeman Mbowe yazungukwa na polisi wenye silaha

    Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe. Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…