mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizi wa Airtel kwenye vifurushi na huduma mbovu za TCRA

    Wakuu, Nilijiunga kifurushi cha Airtel cha Uniofa ambacho unapata dakika 40, sms 10 na mb 350 kwa muda wa siku 7. Kilichonishangaza leo asbh nilipoangalia salio, ikaonyesha kifurushi changu zile dakika 40 na sms zinaisha tar 04 June. Lkn zile mb zinaisha leo tarehe 31 May saa 2 asbh...
  2. E

    Sera mpya ya Elimu na Mitaala ni mibovu, ni mwendelezo wa kuwa na Elimu mbovu

    Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
  3. Ibrahim Masoud 'Maestro' wa EFM Radio wana Simba SC tunakuheshimu acha Kutuudhi kwa Kumfagilia Mchezaji mbovu Kapama kuwa asiachwe Simba SC

    Tafadhali kama huyo Mchezaji wako Nassoro Kapama kakupa Pesa ili Umfagilie na asiachwe na Simba SC acha mara moja au anzisha Timu yako ya Mpira wa Miguu kisha Msajili katika Timy yako akufanyie Kazi sawa? Tena GENTAMYCINE nikuchane Mubashara hapa hapa JamiiForums kuwa kama kuna mchezaji mbovu...
  4. M

    Nazi nzima ni Agharabu ya Mbovu. Waliocheza Fainali ya Afrika wanachekwa na waliokosa kila Medali kwa Misimu 2 mfululizo

    Ni ajabu na kweli ya kwamba kuna mashabiki, viongozi na wanachama wa klabu moja hapa nchini wamefanya sherehe ya kufurahia baada ya Yanga kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USMA Alger ya Algeria. Watu hao ambao chuki na wivu wa maendeleo...
  5. SoC03 Inaelezwa kwamba Mbali na Mtaala Mbovu, Ajira za Kujuana ni chanzo kingine cha Elimu Mbovu Nchini

    I. Utangulizi Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
  6. Aloo customer service ya NMB Mlimani city ni mbovu sana

    Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao. Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni...
  7. U

    Simba ni mbovu, ni katimu ka Makundi tu, hakajawahi kupitia mechi za mtoano

    Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa. Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba imefuzu au kupita hatua za Makundi mara nne , wakati mwingine ikiwa ya pili au ya kwanza na kuishia...
  8. J

    Car4Sale Nauza Gari langu Nissan Tilda lina changamoto ndogo

    Habari wakuu. Ninauza Gari yangu Nissan Tilda Namba C. Engine: cc1490 Gari haitembei Ina changamoto zifuatazo - Badhi za sensa zimekifa nilimwita fundi akatazama na kubadili sensa, gari iliwaka vizuri na kutembea. Sikuwa na fedha ya kulipia hizo sensa hivyo fundi akarudishia zile Mbovu, jumla...
  9. Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi. Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
  10. SoC03 Uwajibikaji mbovu wa watoa huduma kwa wateja

    Heshima kwenu wakuu. Leo nimeona tuzungumzie kuhusu baadhi ya watoa huduma kwa wateja kutoka kwenye makampuni/biashara mbali mbali wanavyosababisha kero kubwa kwa wateja wao kutokana na uwajibikaji wao mbovu kabisa! Niliwahi kusikia malalmiko mengi sana kutoka kwa watu tofauti kuhusu kupewa...
  11. Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

    Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma. Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
  12. Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

    Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
  13. Oscar Oscar: Simba sio mbovu kama wengi wanavyodhani, kilichotuangusha msimu huu ni Ubora wa Yanga na Azam tu!

    Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora...
  14. Madenge wa Twitter ni usajili mbovu kuwahi kufanywa na Majizo wa EFM

    Kelele ni nyingi uko Twitter utasema Majizo kaokota dodo chini ya mwembe. Naufananisha usajili wa Madenge kama usajili wa Mbwana Samatta pale Aston Villa. Usajili mbovu halafu mbovu tena. Imefikia watu wanamuweka level moja na big thinkers wawili yani Masudi Kipanya na Gerald Hando. Mnawakosea...
  15. Tatu bora na Tatu chafu za majina ya kike

    Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo, dishi limeyumba, cha wote, pichu mkononi kuendelea... NITAANZA NA TATU BORA 1)AMINA Wanawake wenye hili...
  16. K

    Tanroads! Barabara zenu Dar es Salaam ni mbovu kupindukia. Tuambieni sisi wananchi mna mipango gani na sisi?

    Hali ni mbaya sana tena sana. Sehemu ya dakika 5 sasa hivi tunatembea nusu saa. Shida kubwa ikiwa hasa jimbo la kibamba. Mpaka daladala wameondoa mabadi yao kwa sababu ya ubovu wa barabara. Mfano mzuri ni hii barabara ya Mbezi High School kwenda Mpigi magoe. Hii siyo barabara ni handaki kabisa.
  17. DOKEZO Mwanza ni Jiji la pili kwa ukubwa na wingi wa watu lakin Barabara ya Kenyatta ni mbovu na haina hadhi kabisa

    Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho la kipekee, barabara inatakiwa ifumuliwe yote kuanzia Mwanza mjini hadi Shinyanga boarder km 104 na...
  18. Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini...
  19. Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

    Kila wakati Takwimu huwa zinasema tofauti na wana- Yanga wanavyoaminishwa na watu wao wanaowaamini. Juzi Kati hapa almanusra Manara awadanganye Yanga kwamba haijawahi kutokea Timu ya Tanzania kuongoza kundi kwenye mashindano ya CAF ikiwa na Pointi 13. Alipokumbushwa kwamba simba iliwahi...
  20. Tuna namna moja tu ya kudhibiti utendaji mbovu wa watumishi wa mahospitalini na kwenye taasis zingine

    Nitolee mfano Morogoro referral hospital, utendaji wa madaktari na wauguzi ni mbovu sana. Rushwa, neglegence, wizi wa dawa, impolite languages za wauguzi na baadhi ya madaktari, yaani vurugu tupu kwenye hospital iliyo katikati ya jiji morogoro. Kwavile mfumo wa opras wa kutathimini utendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…