mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
  2. JamiiForums Tanzania Timothy Weah, mtoto wa Rais George Weah aliyejikita kusakata kabumbu na kutayarisha muziki

    Timothy Weah, huyu ni raia wa marekani ila kwa kuzaliwa ,ila baba ake ni raia wa Liberia, Huyu Timothy ni mtoto wa rais wa Liberia ila leo mtoto wake aliitetea Marekani katika kombe la Dunia2022. Timothy ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki (Producer) ila hii kazi ufanya kwa muda wake kozi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali akamatwa na Polisi mkoani Mbeya. Aachiwa huru bila masharti

    Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbona wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kipigo cha Jana na Horoya FC?

    Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea. Na hii siyo...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Kibaraka wa CCM mzee Lipumba alikuwa na mkutano hapa Dar, mbona hatupati updates?

    Leo yule kibaraka wa CCM alikuwa na mkutano wa hadhara hapa dar, je alikuwa na jipya lolote? CCM walikuwa wanamjazia watu ili ionekane bado yuko hai kisiasa na chama chake. Kwa wale walihudhuria huo mkutano hebu watupe nini aliongea, na mahudhurio yalikuwaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu acha kupanick, jibu hoja za Luhaga Mpina. Kwanini utumie reserve ya dola kujengea madarasa nje ya bajeti? Mbona awali hukusema kweli?

    We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi. Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti. Sasa hivi unadai kutumia reserve ya dola zenye thamani ya tril moja kujenga madarasa. Tukuamini kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwigulu mzee wa proffesional ya uchumi. Kama pesa za Uviko zilijenga madarasa Mbona ulitumia bil 124 nje ya bajeti? Acha kumshambulia shujaa Mpina

    Kelele kibao na kejeli. Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe? Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi? Pesa za uviko zilijenga madarasa na mkatuambia yanatosheleza. Sasa kwa nini udokoe bil 124 nje ya bajeti?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vyote vya habari vinatamani kuongea na Lissu; mbona tulimtuhumu kama msaliti?

    Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu. Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten...
  10. JamiiForums Tanzania Azam Tv msimu huu mbona hamuoneshi Emirates F.A Cup?

    Misimu iliyopita tulikuwa tunakula burudani ya Kombe la FA kupitia AzamTv Sasa hivi michuano inaendelea AzamTv haoneshi labda ile Carabao Cup. Sasa kama mnashindwa kuonesha Emirates FA Cup mtaweza kweli mziki wa EPL? Nilikuepo!
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi mlimleta Bigirimana kwa Mbwembwe zote, mbona sasa mnaachana nae Kimya Kimya?

    Naona nae Kawadindia ( Kawakatalia ) na anataka mumlipe Tsh Milioni 700 zake la sivyo anabisha hodi FIFA Kudadadeki. Halafu Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) na GSM wako ( yako ) si mnasema mna Hela? Sasa mbona mnamsumbua mno Tajiri wa NATION GAS Rosti Tamu ukila na Aziz pamoja na Mzee...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona Serikali ipo kimya kuhusu Meli ya mizigo ya Tanzania ambayo imezama huko Iran?

    Inasemekana sababu za kuzama ni upangaji mbovu wa makontena -- A Tanzanian cargo ship has on Tuesday January 24, sank in a jetty in the southern Iranian port of Assaluyeh, Iranian state media has reported. The official IRNA news agency said the vessel named Anil overturned because...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazopinga ushoga zinatumia kigezo gani? Mbona hazipingi ukahaba na uasherati?

    Ukifuatilia sababu kubwa inayotolewa na nchi nyingi ikiwemo Tanzania ktk kupinga ushoga wanadai ni chukizo kwa Mungu. Ndipo sasa najiuliza chukizo kwa Mungu ni ushoga peke yake? Kwann haziharamishi ukahaba na ufuska kama ilivyofanya Indonesia? Indonesia wamepitisha Sheria kuwa mwanamke kuzaa...
  14. JamiiForums Tanzania Kunani Lissu na mkewe? Mbona hakumsindikiza airport Ubelgiji, wala hajaja kumpokea airport DSM?

    Najiuliza tu hili swali, wanaojua watufahamishe. Hawa watu wamekuwa wakiambatana katika shughuli nyingi, kulikoni?
  15. JamiiForums Tanzania Orodha ya walioachwa Ukuu wa Wilaya

    1) Basila Mwanukuzi 2) Jerry Muro 3)Siriel Mchembe. 4)Gabriel Zachariah. 5)Jasinta Mboneko. 6)Mathayo Masele. 7)Zainabu Kawawa. 8)Tano Mwera. 9)Abbas Kayanda. 10)Festo Kiswaga. 11)Wilson Shimo.
  16. JamiiForums Tanzania Mbona kuoa wake wengi kama hoja kuu ni ulafi wa ngono tu?

    Wasalaam wana JF Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
  17. JamiiForums Tanzania Nini hatma ya COVID 19? Imeishia wapi mbona haina tena tension

    Habar wana jamii nauliza. Je, covid 19 imeishia wap naona wale wazungu walokua wanaweka lockdown leo wana socialize kawaida je ni kwambo covid ipo au ilikua ni siasa tuuh Na cha kushangaza zaidi ipo china ambapo marekani huamin ndo ilipotea .....let us discus this thread
  18. JamiiForums Tanzania Wale mlionidhihaki na kunibishia niliposema hapa JF kuwa Manzoki haji Simba SC mbona hamnipigii 'Salute' yangu?

    Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji Ceaser Lobi Manzoki haji ng'o Simba SC na kwamba Uongozi wa Simba SC unawafanyeni Mazuzu na...
  19. JamiiForums Tanzania Akina Kamwe, Manara na Privadinyo waliokuwa 'Wakitupostia' Picha za Miquissone Kipindi cha Usajili mbona sasa wako kimya?

    Mlifanikiwa kweli kweli 'Kuwaokota' Mashabiki wenu wenye Mapungufu ya Asili ya Akili na Kufikiri huku Wakirandaranda Mitaani na Kutamba ujio wake wakati kumbe zilikuwa ni Ndoto za Mchana tu. Kama kwa sasa tu Mshahara wa Aziz Ki wa Shilingi Milioni 23.5 kwa Mwezi unawatoa Jasho na Mchezaji kila...
  20. JamiiForums Tanzania Zitto acha kutafuta kiki, mbona hukushitaki hao washirika wako CCM leo unashoboka?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…