Ikitokea ajali tunaambiwa dereva ametoroka na anatafutwa, kwanini mkiwapata hamtuambii?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,234
23,810
Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa.

Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo.

Wakipatikana mtujuze basi.
 
muwe mnaulizia pia kama amekamatwa au bado 🐒

mambo ni mengi mno polisi....
 
Mnaambiweni ametoroka ili msaidie utafutaji kwa ulinzi shirikishi hiari jamii 🤣🤣🤣

Akishapatikana, mnataka mwambiwe ili mkajichukulie sheria mikononi kuwapopoa wafe?🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom