Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

Write your reply...lissu ana kipaji cha ubishi na kuongea ndio kinachowapumbaza wengi wakidhani yeye ndio bingwa wa sheria nchini
Wanasheriaccm hawajui sheria na wengi wamejitoa fahamu hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali ni kwa Amri haramu ya kishetani toka kwa ibirisi wa ccm
 
Ukiwa mwanasheria na ukajiunga na ibirisi wa ccm tayari kichwani unasahau ulichosomea na kuwa chawa wa ibirisi wa ccm kwa kuendesha kesi kwa njia haramu za kishetani
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
Ndio maajabu ya Bongo. Mahakama hazijatambui, kama ni muhimili wa kutenda Haki na wakutafsiri sheria
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
ni kwa kiasi gani mahakama zetu ziko huru. kujua hilo mwangalie mwenzake Bunge shithole countries zinaboa sana
 
Write your reply...lissu ana kipaji cha ubishi na kuongea ndio kinachowapumbaza wengi wakidhani yeye ndio bingwa wa sheria nchini
Umesikia akiyasema hayo, au ni wewe umeona uyawasilishe kwa niaba yake.

"Kipaji" chako ni nini hasa; kutambua ya wengine na kuyawasilisha kwa niaba yao? "Ubingwa" wako ni katika mambo yapi; umbeya?
 
Write your reply...lissu ana kipaji cha ubishi na kuongea ndio kinachowapumbaza wengi wakidhani yeye ndio bingwa wa sheria nchini
Ubingwa wa sheria ni kua mbishi wenyepoint ndiyo maana wakati mwingine wale watu wenye akili nyingi huwa wanafelishwa ili wasiwe mawakili wakampotosha jaji
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
DPP ndiye anaidhinisha shitaka kisha anamkabidhi jaji kulitafsiri na kutoa hukumu, jaji hawezi kuandaa shitaka.
 
Write your reply...lissu ana kipaji cha ubishi na kuongea ndio kinachowapumbaza wengi wakidhani yeye ndio bingwa wa sheria nchini
Lissu mtaalam wewe hapo bungeni unakumbuka kipindi cha Ana makinda tulilala saa9 kwa ajili ya kutunga sheria?
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
Kwenye hii ya Lissu DPP hahusiki,
Kwanza kabisa Lissu Hana kesi ya kujibu.
Wapi ulisikia mtu mmoja mlemavu ambaye Hana mafunzo hata ya mgambo akapindua nchi single handedly.
Aliyetunga hii kesi hakujipanga.
Angetafuta sababu nyingine hata ya kubaka au kuendesha gari akiwa amelewa.
 
Mahakama na DPP tutawalaumu bure hapo, kulikua na sheria iliyokua inaruhusu mahakama kumwachia mtuhumiwa kama upelelezi unachelewa, lakini bunge likaibadili ile sheria na kuiondolea mahakama nguvu ya kumwachia mtuhumiwa. Kiufupi hapo Lissu anaweza kukaa jela hata miaka 10 na ikawa kwa mujibu wa sheria.....Tuna sheria za hovyo sana. Wabunge ndo wametufikisha hapa kupitisha sheria bila kuelewa madhara yake sababu wanaona hizi sheria haziji kuwagusa wao.
 
Back
Top Bottom