mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Madereva tupeane mbinu za kuchomoka hapa

  2. F

    JamiiForums Tanzania Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  3. JamiiForums Tanzania Ifike sehemu jamii Itafute mbinu mbadala ya Kuwafunda dada zetu

    Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja. Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miundombinu tayari kwa shirika la umeme Kenya kusambaza intaneti

    Tunakwenda vizuri. Kenya Power will start offering fixed internet services by June next year in a shift that will put it in competition with telcos and trigger fresh price wars in the battle for the market. The State-owned power utility has been piloting the fixed internet provision to a...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi. Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite siku mteja asiingie kabisa dukani. Siku akiuza basi ni bidhaa chache tu. Duka lipo Mikocheni lina...
  6. JamiiForums Tanzania Waarabu na Wayahudi kuungana na kubuni NATO yao, ndio imekuwa mbinu za kujilinda sasa

    Waarabu wameona hamna namna ya kumtegemea Urusi tena kwa aibu aliyo onyesha kule Ukraine, wameanza kukubali kuingia muungano wa kulindana na NATO. =================== Late last week, the king of Jordan made headlines when he told journalists that he would support a military alliance in the...
  7. JamiiForums Tanzania Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

    Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje? wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see britanicca
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mbinu wanayotumia wakinga kuchana msamba badala ya kupiga hatua, umoja ndio siri, ni mbinu rahisi mno

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Sio Uchawi, hii ndio mbinu wanayotumia wakinga kuteka biashara kwa spidi kali na mfanikio makubwa, mbinu rahisi ambayo kabila lolote linaweza kutumia

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  11. JamiiForums Tanzania RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

    Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu. Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Miundombinu inayojali mazingira na kuzingatia mahitaji ya wanyama pori ndio njia mwafaka ya kutunza asili

    Na Ronald Mutie. Wakati wa mchakato wa usanifu, wataalam wa reli hii ya kisasa SGR kati ya Mombasa na Nairobi nchini Kenya walichukua hatua kadhaa zilizolengwa kushughulikia masuala ya mazingira, kama vile kulinda mimea na wanyama mbalimbali wa porini. Tangu kufunguliwa kwake Mei mwaka 2017...
  13. JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala ya kumtambua potential 'soul mate' kwa kutumia vidole!

    Achana na nyota sijui nini mara nge mara ndoo sijui maji/moto etc!! , kule tena mbali sijui herufi za majina mara sijui jina la mama, kabila etc............ kuna njia rahisi sana ya tena inayogundulika mapema ya kumjua potential soulmate wako. Kabla sijaendelea naomba niweke wazi vile...
  14. JamiiForums Tanzania SEMINA; Mbinu 7 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Katika Mazingira Yako

  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

    Habari wana jukwaa Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini? Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nitumie Mbinu gani Simu ipokelewe Utumishi?

    Wadau Mambo vip? Nimejaribu sana kuanzia Jumatatu Mpaka Leo Kila nikipiga simu Sekretarieti ya Ajira Simu ipo Busy na kuna muda ikifika haipatikani. Naombeni wadau mliofanikiwa kuwapata hewani mmetumia mbinu gani? Na Muda mwingine inaita lakini haipokelewii.
  17. JamiiForums Tanzania Huu ni mgao wa umeme au matengenezo ya miundo mbinu ya umeme iliyochakaa?

    Kwa zaidi ya wiki na kitu sasa umeme unakatikakatika hovyo na mbaya zaidi unakatika bila hata taarifa. Leo umekatika na tumeshindwa hata kuangalia mtanange kati ya Coastal Union na Azam Fc. Waziri mwenye dhamana huwa na kauli mbiu mbili tu. Mgao au matengenezo ya miundombinu chakavu. Atuambie...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa". Tanzania sio masikini, Tanzania ni nchi tajiri sana yenye Rasilimali lukuki, ila watu wake ni masikini Kwa Umasikini wa files. "Umasikini m-mbaya kabisa ni umasikini wa fikra"-JK Nyerere...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupendwa na mademu wengi

    Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa? Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za Marekani kuilenga Huawei ni mbinu ya ushindani wa kibiashara

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Wendy Sherman aliyekuwa ziarani nchini Angola, alisema Angola na nchi nyingine za Afrika kutumia vifaa vya kampuni ya Tehama ya China HUAWEI, ni kuhatarisha usalama wa nchi. Kauli hiyo aliyotoa Bibi Sherman baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…