mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe

    Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe Wadau hamjamboni nyote? Mada yangu ni habari ya hekalu la mbinguni na tafsiri yake kama inavyofundishwa na Wasabato Nabii mke wa Kanisa la Wasabato Duniani alidai Yesu Kristo...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
  3. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa ukiwa mbinguni Mwl Julius Kambarage Nyerere, angetimiza miaka 102 leo

    Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake. Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sababu Tano kwa nini Mkristo upambane kushinda umasikini wa kipato?

    Karibu moja kwa moja, Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake. 1: Unasikini ni matokeo ya Laana. Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia?

    Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .? If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na kujenga visima vya maji Kama alivyoacha ametuambia.
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

    Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu. ====================== For English Audience The 2025 political winds have already...
  7. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

    Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
  8. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

    Una two options 1-upewe billion moja Leo Siku ya mwisho uende moton. Au 2-Free ticket ya kuingia mbinguni Siku ya mwisho.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kumbe Mimi tayari naishi Akhera / Mbinguni

    Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko. Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu

    USHUHUDA NAMBA MOJA JUU YA MBINGUNI NA KUZIMU.JIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKOJIANDAE KUKUTANA NA MUNGU WAKO!FALME ZA MBINGUNI NA KUZIMU,NA KURUDI KWA KRISTOAngelica ZambranoImefasiriwa na Alpha Wilson Magubila kwa Neema aliojaliwa na MunguKwa kipindi cha masaa 23, binti mdogo wa ki-Ecuado aitwaye...
  12. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wateule wa Kristo watakaa mbinguni na kujifunza hukumu ya wenye dhambi kwa miaka elfu moja (1,000) pekee yake?

    Leo nimekaa na kujiuliza. Kwa wakristo tunaambiwa baada ya Yesu kurudi na kuwachukua wateule wake hao wateule watakaa mbinguni kwa miaka 1,000 wakijifunza hukumu ya wenye dhambi. Hiyo miaka 1,000 ni sawa na masaa 8,760,000. Na katika kujifunza hiyo hukumu hao wateule watakuwa wanaangalia "video"...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Live Kutoka Mbinguni/ Welcome back to Heaven

    INTRODUCTON: Shalom!! Nawakaribisha tena Mbinguni, Mbinguni ndiko tulikokuwako milele kabla ya Mungu kutuleta duniani kupitia pumzi ya uhai Kwa baba na mama zetu wa duniani. Mbinguni ni wapi? Hapa tunapoishi ni Mbingu ya kwanza, Mbinguni tunapoongelea Leo ni Mbingu ya tatu. Ukiigawa katika...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Mbinguni

    Habari wapendwa! Watu wengi wanacheza na dhambi ni kwa sababu hawajui jinsi mbinguni kulivyo! Leo nitawatazamisha jinsi mbinguni kulivyo baada ya hapo utaamua mwenyewe kuendelea na dhambi au kwenda huko Kutokea uso wa nchi hii kwenda juu kuna mbingu ya tatu, isiyoonekana kwa macho ya nyama...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Angelica Zambrano: Binti kutokea Ecuador aliyeenda Mbinguni na Kuzimu

    Hii ni makala ya yule msichana wa kule Ecuador aitwaye Angelica Zambrano. Huyu alichukuliwa na kupelekwa Mbinguni na Kuzimu. Kule kuzimu aliwakuta wasanii mbalimbali, akawakuta viongozi wa dini. Yaani yule mtu mliyemwamini sana, naye akakutwa huko. Tutaisoma yote. Ukiingia mitandaoni ipo ya...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini wahuni, watu tunaowaona wadhambi wengi wataingia mbinguni kuliko watakatifu wa kidigitali

    Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu. Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Anthony Lusekelo anayeamini ana tiketi ya mbinguni tayari pamoja na wanaojiita walokole

    PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..." Tukumbuke kwamba. Mama huyu alikuwa na ujasiri wa kuendelea na ujauzito - na ni kitu gani kilichompata...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Ufunuo 12:1 "Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!" Luka 1:26 "Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa tafiti hizi tutafika Mbinguni tumechoka sana

    Utafiti kutoka Chuo kimoja Kikuu huko London unasema kwamba, unapojikwaa au kupata maumivu, kiwango cha uchungu unachopata kinategemea na kiwango chako cha maisha. Iwapo wewe ni maskini basi utahisi uchungu mwingi zaidi kuliko yule ambaye ni tajiri. Una maoni gani kuhusiana na utafiti huu?
Back
Top Bottom