mbinguni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Pengine; nimekutana na malaika kutoka mbinguni

    Ni hivi, upwiru unavyozidi mtu una hangaika hangaika, nimekutana na m-shangazi mmoja hivi, sasa hapa na pale tukaelewana tukaweka miili yetu kitandani Siyo kesi, nikawa nasubiri ile sehemu ya pili, invoice, nilistaajaabishwa hakukuwa na invoice wala nini, nikasema labda kwasababu ya show ya...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kama kutamani tu ni dhambi, kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli?

    Mathayo 5: 28 Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. MY TAKE: Kuna mwanaume ataenda mbinguni kweli? Labda awe kipofu, huku kukicha mizigo huku na kule humo.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kila mtoto anayekupa hela anakuwa ni Malaika kutoka Mbinguni?

    Kwahiyo kumbe hata Mimi GENTAMYCINE nikienda Kuwatembelea Marafiki zangu wakubwa hapa JamiiForums akina Mtani wangu Arovera, mrangi, Bila bila, SAGAI GALGANO. rodrick alexander na Mjeda wangu wa 521 Lugalo King Kong III na Watoto wao wakija kunipa Hela basi moja kwa moja natakiwa Kujisifu na...
  4. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba inahitaji utulivu, umakini na utilivu! No shortcut!

  5. J

    JamiiForums Tanzania Mbinguni ni Wapi?

    Mbinguni ni Wapi Mbinguni ni Wapi Katika Biblia, neno mbingu linatumiwa kwa maana zaidi ya moja kumaanisha mbingu halisi; makao ya kiroho, na cheo kilichokwezwa au kutukuka. Katika kila maana, hali iliyopo inasaidia kutambua ni maana gani iliyokusudiwa. 1. Mbingu halisi: Kitabu cha Mwanzo 1:20...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi usikute ni Chanel ya vichekesho huko Mbinguni

    Kwa hisani ya ITV.
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kweli huyu dada alitaka kunitanguliza mbinguni

    Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie. Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote. Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi? Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu. Britanicca. Pia soma >> GE2025 - Makonda: Nililishwa sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka jana
  9. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tukifika mbinguni, wanaume safi tutapewa mabikra 72 tuishi nao. Vipi kwa upande wa wanawake?

    Mafundisho ya dini yana favour sana upande wetu wanaume. Vipi kuhusu wanawake? Mbona wao hawaongeleki? Baada ya kufika mbinguni na bus la Isamilo Express, tutapokelewa na malaika ambao watatulaki na kutufungulia lango la mbingu. Wanaume safi akiwemo mimi ambao tunachakata mbususu kwa staha kwa...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?

    Wakuu Bwana ni mwema!! Maandiko yanatuambia ya kuwa👇👇Mwanzo 11:1-7 (KJV) Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja. Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko. Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

    Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat. Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe

    Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe Wadau hamjamboni nyote? Mada yangu ni habari ya hekalu la mbinguni na tafsiri yake kama inavyofundishwa na Wasabato Nabii mke wa Kanisa la Wasabato Duniani alidai Yesu Kristo...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
  18. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa ukiwa mbinguni Mwl Julius Kambarage Nyerere, angetimiza miaka 102 leo

    Leo ni mfanano wa siku ya kuzaliwa kwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere. Kama angelikuwa hai basi leo angekuwa anatimiza miaka 102 yankuzaliwa kwake. Heri ya kuzaliwa kwako Mwl. Julius Kambarage Nyerere
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sababu Tano kwa nini Mkristo upambane kushinda umasikini wa kipato?

    Karibu moja kwa moja, Umasikini wa Kipato namaanisha kutokuwa na kipato cha kuendesha mambo yako na kibaki cha ziada kwa ajili ya kusaidia wahitaji. Utajiri wa kipato ni kinyume chake. 1: Unasikini ni matokeo ya Laana. Torati 28 inataja laana za kujitenga na Mungu zote zinauhusiano na...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia?

    Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .? If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na kujenga visima vya maji Kama alivyoacha ametuambia.
Back
Top Bottom