mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo muda huu Mbezi kwa Msuguri

    Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka Wabakie Majumbani Kwao, huku hali ya Ulinzi Ikiimarishwa kwenye Barabara ya Morogoro .
  2. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Abiria wafurika Mbezi - Magufuri, sababu ni ipi

    Adha ya usafiri kutoka jiji la Dar Es Salaam kwenda Mikoa mingine nchini bado imekuwa kitendawili ambacho kila Mwisho wa mwaka hasa mwezi wa 12 kinakosa kutenguliwa. Inaelezwa kuwa kwa mwezi wa 12 kwa mwaka huu 2025 Ongezeko la abiria limekuwa mara dufu na mapema sana(kuanzia Disemba 01, 2025)...
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna magari ya kutoka Mbezi mpaka Mbagala moja Kwa moja?

    Naombeni msaada Kuna margari ya kutoka mbezi mwisho mpaka mbagara Moja Kwa moja na nauli yake Bei Gani wakuu
  4. ERoni

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana: Mwendokasi TANO zinasubiri abiria Mbezi Mwisho

    Wakuu, Serikali za kiafrika zina changamoto sana, kwamba bila kushinikizwa na vitisho haziwezi kujisimamia? Au ni kwa sababu ya uchaguzi, kwamba ukipita wakishapata "ridhaa ya wananchi" tutarudi kukekule? Hii inaweza kuwa danganya toto, watu wasihadaike maana hawa ccm wanajulikana kwa kuhadaa...
  5. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mpiji Magoe

    Viwanja viwili vinauzwa mpigi magoe Unashuka kituo kinaitwa Machimbo Ukubwa Mita 20/20 vipo viwili Kila kimoja bei Mln 5.5 Kipo kiwanja kingine Cha Mln 5.5 Maongezi yapo kidogo 0775 179905
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach Kuna nini au ni baruti?
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    JF Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM Muwe na jioni njema
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa magrill uwe karibu na maeneo ya Mbezi kwa Mathias

    kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii Piga kwenye hii namba 0792797806 Robinson Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias akuelekeze jinso ya kufika
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

    Habari wataalam. Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines. Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu. Biashara ipi inalipa hapa Mbezi ya Magufuli - na eneo lote kwa ujumla?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KERO Ruti ya daladala Mbezi kupitia Goba hadi Kawe na Makumbusho zinazidiwa abiria asubuhi, Traffic ni kikwazo wanakamata daladala zinazokuja kusaidia

    Wakuu, Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wananchi wanaotumia usafiri wa daladala kutoka Mbezi kupitia Goba - Kawe na zile zinazoelekea Makumbusho. Nyakati za asubuhi, kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa daladala. Magari yaliyopo kwenye ruti hii yanaonekana kuzidiwa uwezo, kiasi kwamba...
  12. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach plot for sale

    Mbezi beach plot for sale SQM 2800 Price. 400 millions 0742892195 Call WhatsApp #tanzaniarealestate #mbezibeachplotforsale#viwanja#mbezibeachviwanja#plots#tanzaniaplots#realestates#viwanjambezibeach#viwanjavilivyopimwa#
  13. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi

    Kama unatafuta Social media manager nipo Dar es salaam, Mbezi - nasimamia mitandao ya kijamii pia naweza kusimamia tovuti (website) Mawasiliano: 0756704145
  14. S

    JamiiForums Tanzania Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  15. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAPANGISHWA,IPO MBEZI BEACH🇹🇿

    #rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
  16. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania 4BEDROOM FOR RENT,LOCATED AT MBEZI BEACH 🇹🇿

    #rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
  17. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania 4bedroom for rent, located at Mbezi Beach

    #rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
  18. Doto12

    JamiiForums Tanzania Masaa 24 biashara Mbezi Louis

    Nikishuhudia uzinduzi kufanya biashara masaa yote 24 siku Saba za wiki mliopo mbezi tupeni ushuhuda hiyo biashara inafanyika masaa yote?
  19. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: Ni Sale Agreement Lakini ni 4 Bdrm Ya Kibabe, Mil 78 Tu - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Foleni ya Kimara - Ubungo ni balaa mchana huu kuelekea Mbezi

    Wakuu Foleni katika barabara ya Morogoro kipande cha Kimara hadi Ubungo kutokana na ujenzi unaendelea.
Back
Top Bottom