mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Wito wangu madereva zingatieni sheria za usalama barabarani ili tumalize siku salama

    Habarini wana jukwaa, ni asubuhi ya harakati na pilika pilika lakini katika hali ya kushangaza kuna watu wanataka kusababisha siku isiishe vizuri kwao na kwa watumiaji wengine wa barabara. Dereva wa hii gari asubuhi hii amefanya makosa ambayo kama si kwa umahiri wa dereva wa chombo...
  2. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach kiwanja kinauzwa

    KIWANJA HIKI HAPA KINAFAA SANAA KWA MAKAZI NA HATA BIASHARA UJENZI WA APARTMENTS Kiwanja kipo ushuani sanaa, Ni mbezi Beach kwa Mwamnyange Mitaa safi, ukijenga nyumba ya kuishi au Ukijenga apartments basi zitakuletea faida kwa haraka sana Ukubwa wa kiwanja ni sqm 900 Kina Hati safi Bei milion...
  3. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Survey: • Plot Terrain: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandao ya Kijamii:
  4. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA Pwani: Tunaziwajibisha Daladala zinazokatisha ruti Mbezi - Mlandizi, pia tumesitisha utoaji wa Leseni mpya

    Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja. Akasema kuwa hali...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA na TARURA warekebisha barabara zilizoharibiwa kutokana na mifumo ya Majitaka Mitaa ya Mbezi Beach

    Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa bara bara ya Mbezi msumi na kutojengwa kwa daraja

    Barabara ya Mbezi Msumi kutoka Mbezi mpaka njiapanda ya mbopo na Msumi imeharibika sana, daraja toka lilipo bomoka mwaka 2023 January tukaambiwa litatengenezwa ujenzi wa barabara utakapoanza mwezi wa tatu 2023 lakini hakuna kilichofanyika, Tukaahidiwa ujenzi kuanza mwezi wa nane lakini pia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  10. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Ideal: • Survey: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  11. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  12. Wakujibwea45

    JamiiForums Tanzania VITUO: Mbezi kuelekea mlandizi

    Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
  13. M

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Adha ya maji kwa wakazi wa Makabe Secondary, Mbezi Tabata Kavimbilwa

    Habari . Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu. Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa nini chanzo cha tatizo hilo . Tuliambiwa kutakuwa na siku mbili za kupata...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

    Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda
  16. DolphinT

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  17. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

    Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis Njia ya kwenda Goba Eneo lina SQM 400 (20×20) Nyumba ina umeme na maji Nyumba ina vyumba vinne. Finishing haijakamilika vizuri. Dakika 10 tuu mpaka barabarani Inahitajika milioni 36 tu...🔥 ☎️ +255 783755971 Karibuni sana
  18. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Wale wa Mbezi Magohe, naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri kwa binti wa darasa la tano

    Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
  19. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  20. Powder

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini maeneo ya Mbezi Beach? Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti

    Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti hivi.....
Back
Top Bottom