mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa bara bara ya Mbezi msumi na kutojengwa kwa daraja

    Barabara ya Mbezi Msumi kutoka Mbezi mpaka njiapanda ya mbopo na Msumi imeharibika sana, daraja toka lilipo bomoka mwaka 2023 January tukaambiwa litatengenezwa ujenzi wa barabara utakapoanza mwezi wa tatu 2023 lakini hakuna kilichofanyika, Tukaahidiwa ujenzi kuanza mwezi wa nane lakini pia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kinyerezi, Kifuru na Mbezi Mwisho wapi kuna mwamko sana? nataka nifanye biashara

    Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara maeneo hayo tajwa (eneo moja wapo) lakini sina uhakika ni eneo gani hapo limechangamka kwa ajili ya biashara? N pia fremu inaweza ikafika kiasi cha bei gani? *Nataka kufungua biashara ya vipodozi/urembo. PAMOJA NA BIASHARA YA STATIONERY
  3. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: • Features: • Facilities: • Ideal: • Survey: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬 +255767157788 Mitandao ya Kijamii: @estatedealtz
  4. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako.

    Pongezi:Nilikuwa mbezi kituo kidogo Cha mabasi, kweli watu hawalali kusaka maisha. Mungu baba wape riziki watu wako. Wamama wauza matunda, wauza kahawa, vyakula na kulala sehemu yoyote kubwa uwe na box Mungu wapiganie watu wako sikiliza haja mioyo Yao......
  5. Wakujibwea45

    JamiiForums Tanzania VITUO: Mbezi kuelekea mlandizi

    Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Adha ya maji kwa wakazi wa Makabe Secondary, Mbezi Tabata Kavimbilwa

    Habari . Nianze kwa kusikitika kwa ukatili unaoendelea kwa wakazi wa Makabe (Makabe secondary)wanaohudumiwa na ofisi ya DAWASA Makongo Juu. Tuna mwezi sasa maji hatuna na wala hakuna sababu yoyote ya msingi inayotolewa nini chanzo cha tatizo hilo . Tuliambiwa kutakuwa na siku mbili za kupata...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mabomu ya machozi yarindima Mbezi Luis baada ya CHADEMA kuchachamaa kuwa wameibiwa Uchaguzi

    Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA ambaye ndiyo alikuwa ameshinda
  9. DolphinT

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  10. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa Mbezi Louis

    Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis Njia ya kwenda Goba Eneo lina SQM 400 (20×20) Nyumba ina umeme na maji Nyumba ina vyumba vinne. Finishing haijakamilika vizuri. Dakika 10 tuu mpaka barabarani Inahitajika milioni 36 tu...🔥 ☎️ +255 783755971 Karibuni sana
  11. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Wale wa Mbezi Magohe, naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri kwa binti wa darasa la tano

    Wakubwa natarajia kuhamia huko soon. Naomba mnielekeze shule zinazotoa taaluma nzuri Kwa binti yangu wa darasa la tano. Iwe shule ya kutwa, natanguliza shukrani.
  12. Roseyree

    JamiiForums Tanzania Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  13. Powder

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini maeneo ya Mbezi Beach? Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti

    Nasikia Sauti kama Mabomu ama Baruti hivi.....
  14. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi?

    Tenda: TR36/002/2023/2024/W/98 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mbezi Victoria kuelekea Bunju kupitia Mpigi Magoe Wakuu naomba kuelewa mchakato wa barabara ya kutokea Mbezi Mwisho kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe umefikia wapi? Kinachonisikitisha hii tenda hata kwenye NEST ishatolewa na...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Tutaufanyia kazi ushauri kuhusu eneo la Mbezi Bondeni- Bagamoyo Road (Dar) kuwekwa 'Fly over'

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi Tangibovu ili kuboresha zaidi miundombinu. Hayo yameelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS...
  18. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Rent Mbezi Beach: 2 Storeys Standalone House For Rent - Dar

    • Direction: Sea Side • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: USD 3,500/month (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba ya ghorofa 1 ✓ inapangishwa na samani zake ✓ Vyumba vinne self, sebule, jiko, dinning, public washroom, Stoo ✓ madirisha vioo...
  19. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Mbezi Mwisho: 10 Master Bedroom Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Mshikamano, Mpigi Magoe Road, 1 km off Morogoro Road • Facilities: 10 bedrooms, 12 washrooms • Survey: surveyed • Plot Area: 1,600 sqm • Document: Sales agreement • Price: TSH 130 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ panafaa biashara ya kupangisha ✓ kiwanja kina ulalo kidogo na...
  20. winky

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Msakuzi kaskazini(kwa lubaba hadi pande) hatuna huduma ya uzoaji TAKA tangu february 2024

    Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka. Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
Back
Top Bottom