mbezi

Mbezi is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 32,641.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe ni mbovu sana

    Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza. Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi...
  2. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi sasa

    Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
  3. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Maramba Mawili King'azi B

    KIWANJA KIZURI KINAUZWA !! Maramba Mawili King'azi B Kina mita 32x28~sqm 896 Kiwanja kinasifa hizi; ✅️Kinapakana na barabara ya kubwa ya mtaa huo ambapo Unaweza jenga nyumba ya kuishi na fremu za biashara za kutosha ✅️ Hakiko mabondeni ✅️ Mipaka yake iko wazi inaonekana ✅️ Nyaraka halali za...
  4. Sonship

    Plot4Sale Kiwanja chenye Pagale Mbezi Msakuzi

    Kiwanja chenye Pagale la vyumba 2 Kimeshuka BEI kinauzwa MILIONI 16.5 TU! Kipo Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha daladala zinazokwenda mbezi mwisho stand Kutoka mbezi mpaka site unapanda daladala nauli 700 tu! Ukubwa wa kiwanja ni 20x23(460 sqm) Vyumba ni 2(Master...
  5. Sonship

    House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Maramba Mawili

    INASIFA ZIFUATAZO; Room 3 moja Master, sitting Room, Kitchen,Daining room, Store, public toilet, na jiko, Baraza mbele na nyuma. Ukubwa wa eneo lake ni sqm 380 tu. Maji Dawasa tayari tumevuta yapo Umeme ni kushusha nguzo ipo uwanjani Nyumba ipo mbezi Maramba mchikichini. Kutoka Zinapoishia...
  6. Sonship

    Nyumba inapangishwa Mbezi Maramba

    Nyumba inapangishwa Mbezi maramba Unashuka Kituo cha Makuti Ni Chumba master na sebule na jiko Kutoka lami Mpaka nyumba ilipo unatembea kwa miguu dk 8 Kodi 100,000 x miezi 6 Umeme unajitegemea pekee yako Mtakua Wapangaji 2 tu,Mwenye nyumba hakai hapo 0675 065906 Utanipoza kidogo ya udalali
  7. Sonship

    Boma linauzwa Mbezi Msakuzi

    Boma la vyumba 2 Linauzwa Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha mwisho wa hiace zinazotoka mbezi stendi Linauzwa Mln 18 tu maongezi kidogo yapo Ukubwa wa eneo ni 20x23(460 m2) Vyumba 2(Master + single room) Jiko na baraza mbele na nyuma Public toilet na Sebule kubwa sana...
  8. mirindimo

    Ajali za bodaboda kona ya Mazuu Mbezi, mwisho Tanroad, wekeni matuta pale

    Tanroad mbona mnatana tuwafanyie kazi zenu au hadi raia wapange mawe barabarani kuzuia magari ndio mtaelewa ? Ajali maeneo hayo na kama hayo yenye kona zimezidi.....fanyeni utaratibu mupunguzie speed vyombo vya moto. Pia Polisi kagueni leseni , hawa vijana boda boda wengi hawana leseni kabisa...
  9. Dalali wa Mjini

    Nyumba inauzwa Mbezi Malamba Mawili sqm 800

    Uwekezaji mzuri huu. NYUMBA SAFI 2 ZOTE KWA PAMOJA ZINAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI NJIA YA KUELEKEA TABATA KINYEREZI NA KUENDELEA. BEI: 260 MILLION MAONGEZI YAPO BOSS. LOCATION MBEZI MALAMBA MAWILI NYUMBA IMEGUSA LAMI PIA KUNA FREM MBILI NJE ZA BIASHARA KILA FREM MOJA KODI LAKI MBILI KILA...
  10. Roving Journalist

    Wananchi wa Kata ya Mbezi, Dar es Salaam: Hatuna maji, Wanawake na Watoto tunateseka

    https://www.youtube.com/watch?v=3QM423d5K-8 Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Mbezi, jijini Dar es Salaam, wamelalamikia ukosefu wa maji katika mitaa yao, hali wanayosema imekuwa changamoto kubwa kwa wananchi, hususan Wanawake na Watoto. Wananchi hao wametoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso...
  11. D

    Ufafanuzi mwendokasi mbezi

    Jamani, naomba ufafanuzi. Kwa nini vituo vya BRT (mwendokasi) barabara ya Bagamoyo Road kuanzia Mbezi Beach vimejengwa virefu sana, na pia vimekaa karibu karibu kiasi kwamba hata mita 400 havifiki kutoka kituo kimoja hadi kingine? Kuna sababu maalum ya kiuhandisi au mipango ya usafiri...
  12. USSR

    Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  13. S

    Responded Marekebisho ya vyoo Stendi ya daladala Mbezi Luis yameanza kufanyika

    Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea. Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
  14. U

    Route mpya ya daladala kuanzia Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi Kibaha kupitia Loliondo imeanza

    Route mpya ya Mbezi hadi Kidimu Mkombozi Kibaha imeanza. Hatimae Latra wameikumbuka Kibaha na kuanzisha route mpya inayotoka Mbezi Luis hadi Kidimu Mkombozi kupitia Loliondo imeshaanza. Wakazi wa Kibaha kwa sasa watapata unafuu wa usafiri kuelekea mjini, pia mji utaendelea kukua kwa kasi. Latra...
  15. Pdidy

    Hatimae choo cha Mbezi Stand kimeanza kujengwa

    THX MANISPAA KWA KWELI ILIKUWA MWENDO WA UTI NA MENGINEYO VYOO VIMEANZA KUJENGWA NA UJENZI UNAENDA KWA KASI NAONA ZILE 300 ZETU BILA RESIT ZIMEANZA KUFANYA KAZII GODBLESS YOU ALL GODBLESS YOUNG AFRICANS SC TUKUTANE JION PALE CHINI
  16. Huihui2

    Milio ya risasi Mbezi Tangibovu yasikika

    Mlio meneo hayo tujuzeni kuna nini hapa Mbezi Shule? Maana na gari 2 za Polisi zimepita muda huu
  17. Pdidy

    KERO Manispaa ya Ubungo fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni ni hatarishi kwa afya, havifai kabisa kutumika

    Mungu tusaidie jamani Serikali na Manispaa ya Ubungo tunaomba fungeni vyoo vya Mbezi Kituoni. Vile vyoo ni hatarishi kwa afya ya binadamu kwa kweli, nimeenda mchana nikafika kuona vyoo 3 vinaelea kinyesi kizito juu, yaani unafungua hiki kimejaa maji na kinyesi juu nenda kile nenda kingine...
  18. P

    Natafuta fundi pikipiki Dar es Salaam

    Natafuta fundi piki piki duka lipo mbezi kibanda cha mkaa duka ni jipyaa tutamlinda kwa posho mpaka pachangamke 0685141035
  19. Fbn

    Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

    Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia. Nitatolea mfano wa airport ili muelewe. Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika...
  20. ChekoFagia

    PostGE2025 Video: Hali ilivyo muda huu Mbezi kwa Msuguri

    Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka Wabakie Majumbani Kwao, huku hali ya Ulinzi Ikiimarishwa kwenye Barabara ya Morogoro .
Back
Top Bottom