Anapatikana Mbezi Makonde EB RestaurantNimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant dadah jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi!!!
Ndio huyo huyoSio huyo enzi za ze utamu alitrend sana akiwa anasoma SAUT
Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant dadah jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi!!!
☺️☺️Huyu ndio yule alitikisa sana mitandao enzi hizo za ze utamu?
Yaani unataka kuuza ukoo wote pesa umpe yeye? Kweli wanaume ni kiumbe tofauti kabisaa😂😂🙌Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant dadah jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi!!!
Nitairudisha kesho..Kwa ajili yako ngoja kwanza kiatu kikae hapo w8Rudisha avatar yetu
Anapatikana ulipokutana naye...Nimekutana nae hapa Mbezi Makonde EB Restaurant dadah jamani unaweza kufa au ukauza ukoo wote!!! Hivi anapatikana wapi!!!
Mbona ana kichwa kidogo kama cha nyokaNdio huyo huyo
Na wewe tuache tuuze tunavyouza.Yaani unataka kuuza ukoo wote pesa umpe yeye? Kweli wanaume ni kiumbe tofauti kabisaa
Hajielewi huyo. Anauza ukoo halafu akishavuliwa chupi anakuta aliyodhania yamo hayamo anaanza kujuta.Yaani unataka kuuza ukoo wote pesa umpe yeye? Kweli wanaume ni kiumbe tofauti kabisaa😂😂🙌
Nitairudisha kesho..Kwa ajili yako ngoja kwanza kiatu kikae hapo w8
Jamani🤔🤔Anapatikana ulipokutana naye...
By the way, mbona ana reception ya wajomba zake? au umependa wezere?