mbeya

  1. Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

    Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia. Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake . Mungu ibariki Chadema ===== Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya...
  2. K

    GR Hotel Mbeya inaongozwa na mtu aisye mtanzania kwa miaka 3 sasa. Je, hakuna mtanzania mwenye sifa ya kuwa Meneja hapo?

    This Hotel for three years or so, is under the management of a foreigner, though is locally owned by a Tanzanian. Ni kweli hakuna Mtanzania anaweza kuwa manager hapa? Tunalalamikia kazi hakuna, ni kweli hatuna mtanzania anaweza endesha hotel hii ya kiwango cha chini hivi? Authorities kazi...
  3. S

    Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

    Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
  4. S

    Mkoa wa Mbeya mtavurugwa

    Mimi sio mwanasiasa bali ni mtumishi hapa Mbeya. Nimekuja mbeya sasa ni mwaka wa 4. Kuna jambo linaendelea mbeya na wao hawataki kulikemea. Mkoa wa Mbeya wasipoangalia kufikia mwaka 2025 watatawaliwa na wanyakyusa. Nikupe takwimu Mbunge wa Chunya, Kyela, Rungwe na Busokelo ni Wanyakyusa. Mbeya...
  5. Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

    Tulisema tangu awali kwamba huyu mama anatumwa na ngazi za juu kuna waliotubishia, sasa mambo ni hadharani. Amekusanya aliowaita wazee wanaoishi kwenye mazingira magumu kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe eti kwa lengo la kuwalipia bima ya afya! Alikuwa wapi miaka yote kufanya haya? Anagawa rushwa...
  6. Mbeya: Madaktari hospitali ya Wilaya Tukuyu wakamatwa kutokana na kutoa huduma mbovu kwa wananchi

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ameagiza kuwekwa ndani na kutolewa katika nafasi zao Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Tukuyu Bw, Manase Ngogo na Afisa Ugavi Bi. Vumilia Mwaijande kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wao. Dkt. Ndugulile ametoa agizo hilo...
  7. Natafuta wauzaji wa mchele wa jumla

    Natafuta wauzaji wa mchele wa jumla kati ya Mbeya, Ifakara. Tuwasiliane kupitia +255 625 490 405.
  8. Nataka kuwekeza biashara ya CD na vifaa vya simu Mbeya wilaya ya Rungwe maeneo ya Ntokela na namba one

    Habari wadau wa Mbeya wilaya ya Rungwe maeneo ya ndaga namba one na nitokela hadi uwanja wa ndege. Nahitaji kuwekeza katika biashara ya kuuza CD vifaa vya sola vifaa vya simu na ufundi simu. Vipi nitakuwa nimechagua eneo sahihi la biashara hiyo?
  9. Tunakuomba Katibu Mkuu wa CHADEMA ufanye ziara maalum mikoa wa Songwe na Mbeya

    Nafahamu kwamba baada ya kuingia ofisini bila shaka unayo mipango mingi sana ya kukipeleka chama mbele zaidi, hilo wala sina shida nalo hata chembe, bali nakuomba kwenye ratiba yako ya mwezi January upange kutembelea chama chako kwenye maeneo niliyoyaainisha hapo juu. Ukifika Kyela tutajitahidi...
  10. CHADEMA yaanza kazi Mbeya Mjini. Mbunge wake aanza kumimina semina elekezi ngazi zote kwenye kata zote

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbeya Mjini kimeanza amsha amsha kwa kumwaga semina elekezi kwa viongozi wa Kata zote , Vijiji na vitongoji kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji . Ikumbukwe kwamba siasa za kishirikina za kutembea mitaani na majeneza kama...
  11. Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  12. Ratiba ya mitihani yaOFP kwa mwezi January (Nipo tawi la Mbeya)

    Habari wakuu, Mwenye taarifa naomba anijulishe, maana nipo kijijini sana hata Whatsapp hamna
  13. J

    CCM Mbeya: Hatutamvumilia yoyote atakayeharibu mali za chama, kuanzia sasa watakaokodi uwanja wa Sokoine kupewa masharti maalumu

    Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa. Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati. Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au...
  14. J

    Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

    Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa. Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale...
  15. H

    Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

    Jana Dk. Tulia Ackson alimpokea Diamond na Rayvanny Mbeya na baadhi ya mashabiki wa CHADEMA kiliwauma na kuuliza kwanini Mbunge wao Sugu asiwe mgeni rasmi badala ya Dk. Tulia Ackson. Kwanza kabisa Dk. Tulia ni fan wa Diamond na hilo lipo wazi na amekuwa akimsapoti Mondi kwenye kazi zake nyingi...
  16. F

    X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  17. Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  18. M

    Tuhuma za rushwa ya ngono kwa madaktari bingwa Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya

    Naandika malalamiko haya nikiwa ni mmoja wa wahanga wa hili. Mimi ni daktari ambae nimemaliza mazoezi ya vitendo "internship" katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Mbeya Zonal Referral Hospital). Madaktari bingwa kutoka baadhi ya idara katika hospitali hii wamekua na tabia chafu ya kudai...
  19. Abiria wa mabasi ya mikoani hasa Dar - Iringa - Mbeya wanakula chakula kibovu. Mamlaka ziingilie kati

    Baada ya makala ya uchafu kwenye mabasi ya njia hii iliyofuatiwa na makala ya abiria kusafirishwa kama wafungwa , sasa nimewaletea makala ya vyakula wanavyolishwa abiria hawa wenye uchovu na njaa, na ambao wamepewa dakika 10 tu za kula pamoja na kuchimba dawa. Natambua kwamba zipo makala...
  20. INAUZWA Kitanda na Godoro vyote vipya vinauzwa mbeya (4*6) 150k

    Habari... nimehama mbeya, nimeacha kitanda na godoro 4*6 nimetumia mwezi mmoja(20days)... bei 150k fixed... karibuni..kama utahitaji kukiona tiwasiliane 0742900511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…