mbeya

  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Karani wa Sensa aingia Mitini baada ya kulipwa 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa. Mtuhumiwa baada ya kulipwa Tsh. 600,000 kama malipo ya awali alitoweka lakini August 21, 2022...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Makarani wa Sensa wachunguzwa kwa Tuhuma za Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawachunguza Mtendaji wa Kata ya Sinde, Hawa Kajula na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mlimani, Baita Sanga kwa tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa watahiniwa wa usahili wa kazi ya sensa ya watu na makazi Mkuu wa TAKUKURU Mkoani humo, Maghela...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Magari yanateketea kwa moto kijiji cha mwale Chimala

    Moto mkubwa unawaka muda huu kijiji cha mwale Chimala mkoani Mbeya malori ya mafuta yanateketea na moto chanzo cha ajali bado hakijulikani. Malori ya mafuta yanawaka moto ni balaa Ni pale hapo stendi mpya karibu na dukani kwa Mama Pipo. ===== MOTO WATEKETEZA MAGARI 6 NA NYUMBA 4 MBEYA...
  5. JamiiForums Tanzania Mpira wa bongo unachekesha sana. Cheki hii ya Singida BS na Mbeya City

    Magoli ya Singida yote ya mchongo. Penalty ya mchongo na offside ya wazi. Mpira wa kuchekesha sana.
  6. JamiiForums Tanzania Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

    Je wewe ni kijana wa kitanzania? Una umri wa kuanzia miaka 30? Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea? Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?) Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera? Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa...
  7. JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. --- Watu nane wamefariki...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Mh Mama Samia Suluhu

    Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Rais Samia azindua mpango wa ruzuku kukabiliana na bei ya mbolea kwa wakulima

    Rais Samia Suluhu Hassani amezindua rasmi mpango wa ruzuku ili kukabiliana na bei ya mbolea nchini ambao baada ya ruzuku hiyo, mkulima atanunua kwa bei ya chini kama inavyoonekana ktk jedwali.✊🏿 Tangu aingie madarakani, Rais Samia amefanya jitihada kadhaa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa sekta ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea na ziara mkoani Mbeya

    MHE. RAIS SAMIA ANAENDELEA NA ZIARA MKOANI MBEYA. LEO NI ZAMU YA CHUNYA, KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO. Leo Jumamosi Agosti 06, 2022 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaingia siku ya Pili ya ziara yake Mkoani Mbeya aliyoianza Jana. Leo ni zamu ya Wilaya ya Chunya ambapo Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakinizingua nawazingua. Jijini Mbeya maelfu wakanyagana kila mmoja akitaka kumwona mubashara

    Wasalaam, Akiendelea na ziara yake jijini Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameendelea kusisitiza uwajibikaji kwa viongozi wote wa Serikali kuanzia yule wa chini hadi yule ya juu, Rais ameenda mbali kwa kutumia msemo maarufu wa vijana "Wanikizingua...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwasalimia wananchi wa Chalangwa wa Mkoa wa Mbeya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Chalangwa Mkoani Mbeya tarehe 06 Agosti, 2022.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu Mbeya karibu sana Mbarali uone uchapakazi uliotukuka wa Viongozi wetu wa Wilaya

    Mama nakusalimu kwa jina la JMT, Mimi ni muumini sana "Satstification & appreciation" Nafahamu kwa kutumia vyombo vyako unafahamu taarifa zote za uchapakazi na Uhodari wa DED wetu, DC na DAS wetu, DSO wetu katika Wilaya hii, Majuzi wakati unawaapisha wakuu wapya wa mikoa ulimmwagia sifa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022 ====== Rais Samia leo ameweka Jiwe la Msingi la katika Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya kumekucha, nategemea makubwa kutoka kwa Rais Samia

    Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo zinatatuliwa. Nchi yetu kwa sasa haina chakula kabisa. Hata hawa NMC hawana akiba tena. Tutasingizia mvua...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mbeya wamruka Dkt. Tulia 'hatujamtuma bungeni kutetea wezi na walanguzi'

    Baadhi ya wananchi wa Mbeya Mjini wamesema hawajamtuma bungeni Mbunge wao Dk. Tulia Ackon kutetea wezi na walanguzi wa kuwakamua wananchi kupitia biashara ya mafuta. Hii ni baada ya wachangia kuwashambulia wananchi wa Mbeya kwamba ndiyo wamesababisha tatizo hili kwa kuwa maamuzi ya Spika Tulia...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

    Habari Wakuu, Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car. Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao... Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake.. Ahsanteni Sana
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  20. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…