Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...