mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein Tshabalala 'asinya' Simba SC mbele ya Kocha Mkuu Profesa Gomez

    Ameshamalizana na Simba SC dakika 15 zilizopita na anaendelea kubakia Simba SC mpaka pale atakapozeeka kabisa. Na sasa kuna Clause tumeweka ambapo Timu za ndani kama Azam FC ikimtaka itoe Tsh Bilioni 1 tu. Kama Klabu ya Yanga SC ikimuhitaji basi itabidi imnunue kwa Tsh 37 Bilioni tu. Klabu...
  2. JamiiForums Tanzania Twende mbele turudi nyuma golikipa wa Yanga ni "kopo", anademka tu

    Huyu kipa hamna kila kitu, unafungwaje gori Kwa shuti la mbali namna Ile , tena shuti lenyewe la kupitia Kati Kati ya gori na sio kwenye mlingoti wa juu sehemu ambayo mara nyingi ni impossible Kwa gori kipa kuunasa mpira , rejea shuti la miquisone dhidi ya al-ahally ..... Alaf anademka juu kana...
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana wapiga mizinga, Mnajiaibisha mbele ya wanaume

    Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke). Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…