mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania CCM Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga mbele, Kazi na Utu 2025

  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania G 55 Acheni Drama za kutoka CHADEMA, anzisheni chama chenu msonge mbele!

    Tangu waliokuwa wanachama wa CHADEMA waanze kutoka Baada ya uchaguzi wa tarehe 21,22/01/2025, sasa limekuwa kama ni igizo lisilo na mwisho. Kwa Sasa kwa wao kutoka CHADEMA imekuwa siyo habari tena maana watanzania washajua wapo watakaotoka CHADEMA na sehemu kubwa ya watanzania washajua kuwa...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Wekeni mbele maslahi ya taifa - Waziri Kombo

    WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara na kuwasihi wafanyakazi wa Wizara kuweka mbele maslahi ya Taifa. Mhe. Waziri Kombo...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Sabato Njema! Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati. Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana. Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwanini unapoenda kujisaidia haja ndogo unaangalia mbele lakini haja kubwa unaangalia ulikotoka?

    Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini). Sikutilia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais ni Muislamu, walio chini yake nao pia na Dini zao. Siri ni moyoni mwake Rais. Tunahitaji Brand ya Taifa sio vinginevyo

    Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi, na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu, mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska. Mambo yao...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema diyo wanaostahili

    Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
  8. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hata Goli la mkono la Maradona lilikuwa Goli. Simba songeni mbele

    Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza. Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo kwenye dunia ya mpira wa Miguu. Lakini mwisho wa siku goli hilo ambalo kwa picha za marejeo...
  9. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ukiweka bango mbele ya duka lako unadaiwa kodi, ukiweka speaker kubwa hudaiwi kodi

    Bando hata likiwa dogo, wakija wanakwambia lipia kodi. Speaker hata kama inaongea mtaa mzima wanasikia, hakuna mtu atakudai kodi. Speaker ni muhimu sana kwenye biashara yako
  10. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Watu wanataka mabadiliko mbele kuna giza nene

    Wasalaam. Hawa vijana wanadai mabadiliko, sijui hii picha kama ni halasi au edited ila sio ishara njema kwa ccm wenyewe.
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania ICC Waufyata mbele ya Benjamin Netanyahu!!

    Katika mabadiliko makubwa, Mahakama ya Rufaa ya ICC imeegemea upande wa Israel, na kurudisha kesi dhidi ya Netanyahu na Gallant kwenye mahakama ya chini ili kuzingatia kikamilifu pingamizi za mamlaka za Israel. Uamuzi huo unasimamisha mchakato wa hati ya kukamatwa kwa sasa, na kutilia shaka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Poleni sana wapambanaji mlio mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.

    Naomba tusikate tamaa, kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wamepanga kumsimika madarakani si kwa kuchaguliwa bali kwa nguvu, yaani iwe kwa kuumiza watu au kwa namna yoyote ile. Kwa hali hii, nadhani sasa kuna haja ya kupanga mikakati na njia mpya kabisa za kutafuta HAKI katika Taifa hili. Kama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waislamu walikuwa mbele kumng'oa Mkoloni, Wakristu kwa kiasi kikubwa ndio watakaoing'oa CCM

    Ni dhahiri bila chembe ya shaka, Waislamu walikuwa msitari wa mbele kumng'oa mkoloni. Hilo halina ubishi, maana Tangu enzi za vita vya mababu zetu dhidi ya wakoloni, struggle nyingi zilifanyika kwenye ukanda wenye waislamu wengi, kuanzia kwa Mkwawa, Abushiri huko Pangani, Kinjekitile Ngwale huko...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makalla: CCM imesogeza mbele muda wa kuchukua fomu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kupitia ushauri kutoka kwa wanachama wake.
  15. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania SADC na SAMIDRC zaufyata tena mbele ya AFC/M23. Mwaka wa kudhalilika na kuvuliwa nguo

    Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC. South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na...
  16. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Nimekubali kuunga mkono maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi ila watoto wa Lissu, Lema, Heche, Slaa na Maria sarungi wawe mstari wa mbele

    Mimi nimekubali kushiriki maandamano ya CHADEMA siku ya uchaguzi lakini ni vizuri watoto wa Lissu, Lema, Slaa, Heche na Maria Sarungi wawepo kama alivyofanya Mbowe. Siyo wao wako ughaibuni warubuni watoto wa wenzao waingie ulemavu halafu wakubali maridhiano kama walivyochuuzwa vijana wa Msumbiji...
  19. vnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sote tunapenda mabadiliko, lakini twende mbele turudu nyuma, Kwa Tanzania Kuzuia uchaguzi Haiwezekani

    Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje? Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
Back
Top Bottom