mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sasa Mrisho Gambo yuko katika mstari wa mbele katika foleni ya kula chakula cha sumu alichowapikia na kuwalisha wenzake-fitna, ukiua kwa upanga!

    Mrisho Gambo sasa anatakiwa kula chakula alichowalisha wenzake kwa muda mrefu sana, chakula chenye sumu ya fitna. Katika foleni, hakuna aliyebaki isipokuwa ni yeye, na mgawa chakula anamuangalia usoni kwa macho pima akiwa na upawa uliojaa chakula, gambo akiwa na sahani yake mbele ya mgawa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aweso amuumbua Eng. Hersi mbele ya Rais Samia kwa kudai huwa anaenda Pangani Kuroga mechi za Watani wa Jadi (Simba na Yanga)

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amuumbua Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said kwa kudai kuwa huwa anaenda kuroga mechi ya Watani wa Jadi (Simba na Yanga) ili washinde "Pangani ilikuwa kama Kisiwa, ili mtu aje Pangani lazima aje kwa makusudio maalum, aje kuzika, amesikia labda kuna mganga mzuri wa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania A best way foward: Kwa yanayotokea na hatari iliyopo mbele yetu, tufanye haya kulikomboa Taifa letu.

    Kwa wenye akili, dalili si nzuri kuhusu mustakabali wa Taifa letu katika miaka michache ijayo. It's obvious, tumezidiwa nguvu na maadui watatu aliotutangazia Mwalimu nyerere hasa ujinga. Kushindwa kupambana vizuri na adui ujinga kumeliweka Taifa letu kwenye hatari ya kupotea na kuangamia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu hawajitambui! Kimshahara kiduchu lakini bado anasema CCM mbele kwa mbele?

    Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote. Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi natumia wiki moja tu imeisha lakini yeye mwezi mzima na humwambii kitu kuhusu CCM. Wana mastress...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo: Watanzania tembeeni kifua mbele, sisi ni matajiri

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema Watanzania hawatakiwi kuwa wanyonge bali watembee vifua mbele kwa sababu nchi yao ni tajiri sana. Shigongo amesema anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mpango wake wa kuitaka Tanzania ijitegemee kwa kutumia rasilimali zake ilizojaliwa. Shigongo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Dodoma Jiji yasogezwa mbele, Kikosi cha Dodoma charejea nyumbani

    Mchezo wa Simba Sports Club dhidi ya Dodoma JIJI FC hautachezwa tena Februari 15, baada ya leo kikosi cha Dodoma JIJI FC kurudi nyumbani kwao Dodoma. Taarifa ya Bodi Ligi
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kisaikolojia; Watu wanaoonyesha Kujali mbele za watu ndio Wakatili na wale wenye kutoonyesha kujali Mbele za watu ndio wenye Huruma

    KISAIKOLOJIA; WATU WANAOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WAKATILI NA WALE WENYE KUTOONYESHA KUJALI MBELE ZA WATU NDIO WENYE HURUMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mara nyingi lakini sio zote. Watu wengi utakaowaona wanaonyesha kujali au kuonyesha huruma mbele za watu ndio makatili...
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  11. kwisha

    JamiiForums Tanzania Canada wamekataa unyonge mbele ya marekani

    Canada imechukua hatua ya kujitenga na Marekani baada ya Rais Donald Trump kuwekea ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico, pamoja na ushuru wa 10% kwa bidhaa kutoka china .Viongozi wa Canada, wakiongozwa na Waziri Mkuu Justin Trudeau, wameamua kuachana na Marekani kabisa. Mark Carney...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nyie vijanaume vifupi acheni kujitutumua mnapokua na wake/wapenzi wenu mbele yetu sisi wanaume warefu

    Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake huyu eti kinajitutumua kimemshika kiuno na kisivyo na akili hakijui kuwa me nishachukua number ya huyo...
  13. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Yaani Justin Bieber tunamuona kazeeka mbele ya macho yetu

  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

    Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu. Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dunia ya 3 upeo wao wa kuona mbele ni miaka 4 mpaka 5, huku viongozi wa Dunia ya 1 uono wao wa kuona mbele ni miaka 50 mpaka 100

    Habari, Kwa ambao tumesoma shule zilizojengwa na Wazungu hii mada haitakuwa ngumu kwenu. Mimi nimesoma shule iliyojengwa 1923 na Waingereza. Ile shule mpaka sasa ina majengo ya mkoloni yenye uimara. Wenzetu wanapojenga, wanapoamua au kupanga jambo hutazama vizazi vinavyokuja ila sisi...
  16. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama mbele ya umma na kujisifia kukopa! Haya ndiyo matokeo baada ya USA kusitisha misaada

    Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Watu Wenye Ualbino ni Muhimu Kama Wengine, Tembeeni Kifua Mbele

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewahimiza watu wenye ualbino nchini kutembea kifua mbele na kutojiona wanyonge kutokana na hali yao na badala yake watambue kuwa wao ni muhimu kama ilivyo kwa watu wengine. Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Januari 24, 2025 Jijini Dar es...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania G.Lema amekiri kuwa alikuwa mstari wa mbele kuichafua nchi kimataifa

    Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa. Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli...
Back
Top Bottom