mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwaheri Irene, nyuma yako mbele yetu, Innalillah Wainna Illah Rajuun, tusipuzie wanaotaka msaada na kuita matapeli

    Humu jf Kuna watu wana roho ngumu na mbaya sija pata kuona eti hadi I'd za kike, dah. Kipindi Fulani nilitukanana na jamaa humu, Kuna mtu alitaka msaada, jamaa akaanza kumita tapeli nikamvaa nikamwambia bro kama una wasiwasi usitoe sio uwe chanzo cha wengine kutotoa. Mapema majuzi nilikua...
  2. JamiiForums Tanzania Nafafuta taa za mbele za Suzuki swift old model(2003)

    Habarini wakuu.. kama post inavojieleza natafuta taa zote mbili za Suzuki swift nipo DSM
  3. JamiiForums Tanzania Iran kaanza kutepeta mbele ya Marekani!!

    Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz. Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo tata ya dunia hufichwa gizani, huku ukweli ukipotezwa mbele ya macho yetu✍️

    👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa. 👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine. 👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatajisikiaje shemeji yako akimuita dada yako “demu” mbele yako

    Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
  6. JamiiForums Tanzania Usifanye haya mbele ya Maji

    Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi.. ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa. Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi za "Mwanamke Muhanga" atakayesimulia Jinsi Mumewe/Mtoto/Ndugu alivyouliwa mbele yake !!!.

    Hapa DUNIANI, Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" . Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA . Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Anajilisha upepo tu, kile kikohozi ni ishara ya misukosuko na shinikizo anazojikakamua kukabiliana nazo

    Watu ambao hukabiliwa na msongo wa mawazo na wanaohofia au kujua jambo baya linalokaribia kuwakuta kwa kawaida ni waongeaji sana, wabwatukaji sana. Hata kama unauguza mgonjwa, siku ukiona anaongea sana na kupenda kula kaa chonjo. Huwa siyo bahati mbaya, ni namna yao kujifariji kuwa kila kitu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Samia: Ukiapa unaapa mbele ya Mungu, Serikali inaamrishwa tu kupitia Rais kwamba huyu ana haya na haya weka pembeni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, akisisitiza kuwa kiapo ni ahadi nzito mbele ya Mungu. "ukiapa unaapa mbele ya Mungu. Hii...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe tumefika Namba Q na hamsemi? DJ niletee 'wasiojulikana' mbele... Halafu kuna malegend wasioweka plate kabisa!

    Wakuu, Tumefika lini kwenye Namba Q wakuu, kuna herufi nilikuwa naisubiria hapa kati, kwahiyo ndio basi tena? Huyu mtu anaenda zake kufanya uhalifu, anakukonga anasepa, unatekwa umesukumiwa humo ndani ndo imeisha hiyoo! Kwanini waruhusiwe kutembea na namba hizi? Lengo ni nini? Na ukiangalia...
  12. JamiiForums Tanzania Vita Vipya Mbele? Ishara Zaonyesha Kuongezeka Kwa Mapigano, IRAN WALALAMIKA

    Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya. Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru. Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo...
  13. JamiiForums Tanzania Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

    Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimewaza sana, hivi kweli unaweza ukajitabiria Jambo ambalo linaloenda kukutokea Mbele bila Wewe kujua?

    Wakuu, Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Trump apigwa tobo na China mbele ya kizuizi chake

    Niaje waungwana Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa hatua hiyo. Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji meli, meli ya China iitwayo Rich Starry ilivuka...
  16. JamiiForums Tanzania Laiti kama binadamu hasa wanawake wangeweka reasoning mbele kuliko emotions, je dunia ingekua sehemu salama zaidi?

    Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa vijana wenye Elimu Ndogo Pesa Nyingi Tanzania ni mkubwa sana; wanaongea ujinga na kuweka mbele kujionyesha na kujisifia mafanikio yao

    Tanzania hivi sasa tunakabiliwa kwa kiwango kikubwa sana cha vijana tunaowaita Elimu Ndogo Pesa Nyingi (Tuwaite EP kwa kifupi - Elimu Pesa), ambao utawatambua katika namna ya maongezi yao, kutamba kwao na kujionyesha kwao. Hata humu JF wapo wengi tu. Utaongea nae dakika tatu tu na kujua kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Wengi hamjui protocol, Jana Rais hakutambulishwa,aliitwa mbele ahage mwili kwa taratibu za kiislamu na aondoke au azungumze,je mwanamke yupi uzungumza

    Kwanza tangu lini kwa uislamuni wakaaga maiti? Pili lini mwanamke wa kiislamu akazungumza kwenye msiba wowote? Hapo nipo utaamini yakuwa KATOLIKI sio dhehebu uchwara limejaa wered mnoooo! Yaani alichokitamka faza Kitima ilikuwa ni kumpa salamu yakuwa hawamtambui, Kwanza kusema atatambuliwa...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…