mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kudai Mamlaka yote hutoka kwa Mungu huku ukiua wadai haki na kutesa wananchi ni chukizo mbele ya Mungu

    Katika historia ya mataifa mengi, hakuna kitu chenye maumivu makali kama kupoteza roho za watu wasio na hatia wanaodai tu kile kilicho haki yao ya kimsingi. Wale wanaolinda maslahi ya wote wanapogeuka kuwa chanzo cha mateso, damu isiyo na hatia inapomwagika, na ukiri wa kuhusika unapotolewa bila...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Wale wa ICC Kazi imeshaisha. Mungu si Athumani. Amekiri mwenyewe, tena mbele ya vyombo vya habari na camera kuwa aliua Watanganyika kwa kudhamiria. Anajisifia kabisa kuwaua Watanganyika wenzetu. Leo amejibu swali mubashara kabisa kuwa yeye ndo alitoa amri za watu kuuawa. Tukamalize kazi ICC...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

    Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN

    Madowo; Serikali ya Tanzania imekaa siku 25 kimya huku ikiwa idadi ya vifo 29 oct havijulikani ndio wanakuja leo kuzungumzia baada ya CNN. Madowo anapiga kwenye mshono huko kuelekea hotuba ya serikali kuhusiana nankilichotokea oct 29 swali je kwa siku zote hizo 25 serikali ilikuwa haijui...
  5. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo Tanzania uchi uko uchi, Sijui Serikali watajibu nini mbele ya ripoti ya CNN

    Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tucheke pamoja (UTANI): Utetezi wa Samia, DGIS, CDF na IGP mbele ya Majaji Mahakama ya ICC

    Samia- Waheshimiwa Majaji, mimi sikutoa maelekezo yeyote kipindi cha Uchaguzi. Nchi ilikuwa chini ya mwanangu Abdul na Msaidizi wangu Kheri. Hawa ndo walikuwa wanawasiliana na DGIS, IGP na CDF DGIS- Waheshimiwa Majaji. Mimi sijui lolote. Hata kwenye Taasisi yangu hakukuwa na chain of comand...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kusameheana ili taifa lisonge mbele

    Kutokana na hali ilivyo nchini kwa sasa, ni wazi kuwa Taifa letu limepitia kipindi kigumu kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Machafuko yaliyotokea yameacha majeraha ya kiroho, kihisia, na hata kimwili kwa watanzania wengi. Ni kweli — kuna waliopoteza ndugu, marafiki, au watu wa karibu. Wapo...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ?

    Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ? Nilisema hakuna hata mmoja kati yao mwenye huo ubavu, na hali ya uwepo wa maandamano yasiyo ya kikomo ndio wanachizika kabisa Kitakacho tokea sisi...
  9. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  10. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengi waliopoteza maisha au kupata majeraha kwenye maandamano hawakuwa na tahadhari au walishindwa kuiona hatari mbele yao kwa kuchukulia poa

    Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
  11. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

    Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
  12. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania October 29, Tulianguka, Tumeinuka, Sasa Tunasonga Mbele

    Mficha maradhi kifo humuumbua. Huu ndio ukweli ulioniongoza kuandika tafakuri hii kuhusu October 29 angalau tujifunze jambo la kutusaidia baadaye. Nini kilitokea October 29, hautakuwa mjadala wangu wa leo. Utashi wangu unaniongoza kuwa hiyo si habari mpya tena, kila mtanzania aidha ameathirika...
  13. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tujipongeze sana Vijana tulioandamana , Wakati alipouliwa Mmoja wetu, tulisonga mbele, Hii Spirit ni zaidi ya Enzi za Uhuru, Mapambano yanaendelea

    Sisi ni watia mwanga katika Giza , Ukombozi unatutegemea. Damu za wenzetu zilizomwagika zinatutaka kuendelea kupigania HAKI zao , Haki ambazo Ushindi wake ni Faraja Kwa Wazazi wao, Watoto,Ndugu, Rafiki na Jamaa. Nilishuhudia Jamaa yangu Ubongo unamwagika 'Mpaka Leo Sijui ni aina gani ya...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hakuwahi kuapishwa mbele ya anaowaongoza. Awamu zake zote aliapishwa uchochoroni

    Mara ya kwanza aliapishwa baada ya kuokota dodo mchangani. Mara ya pili aliapishwa kwenye uwanja ukubwa wa netball. Rejected.
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hawa watoto wa bukumbili sijui mtawatawalaje huko mbele.

    Hawa madogo ni wabishi, ninayoyaona huku kitaa ni hatari vijana wamevurugwa sana. Hata mkijitangaza mkarudi ikulu huko mbele mtatawala kwa shida sana. Ama hakika #MO29 imefana
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Aibu! Hivi ndivyo Tanzania inavyoonekana mbele ya jumuia ya kimataifa

    Chawa drama 🤣. Supposedly nchi ni tajiri wa rasilimali. Rais asiye na mipango yoyote ya kuitoa nchi kwenye kundi la nchi za ulimwengu wa tatu. Ila siwalaumu sana CCM. Kuna msemo usemao hivi ‘see a fool, use a fool’. CCM see Tanzanians as fools hence they’re using them to enrich themselves...
  19. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza hela tena Mbele ya Yanga

    Nilitegemea ushindi wa 2-0 nikaishia kichapo cha 0-1. Sijui kwenye Yanga hii kosa liko wapi
  20. 4

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
Back
Top Bottom