mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

    Leo ndio nimeona sura dhahiri ya Jemedari Said ni mtu mwenye wivu na roho yenye chuki kali sana kwa watu anaohisi wana utofauti na mitazamo yake. Hii imetokea leo muda wote alikua kimya hata pale yaliposemwa maneno ya hekima na yanayohitaji kuungwa mkono yeye alichagua kuchuna. Ila kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Kipa wa PSG apata ajali mbaya akiendesha farasi, awekwa chini ya uangalizi maalum

    Sergio Rico ambaye ni kipa namba 2 wa Paris St-Germain amepata majeraha makubwa katika ajali wakati akiendesha farasi Nchini Hispania alipoenda kwa ajili ya mapumziko. Rico (29) alikuwa katika Mji wa Huelva na baada ya ajali hiyo iliyohusisha farasi kugongana alisafirishwa kwa helikopta...
  5. JamiiForums Tanzania Zimbabwe nchi yenye hali mbaya zaidi duniani, Tanzania yashika nafasi ya 99

    Wakati tukiwaza maisha magumu embu tupige magoti tumshukuru Mungu na kuwaombea wenzetu kama zimbabwe, Somalia n.k ambao wanapitia kipindi kigumu cha maisha.Tunalalamika hali ni mbaya ila kuna wenzetu wanataman hata haya maisha tunayoishi sisi. #HABARI Zimbabwe imetajwa kuwa nchi yenye hali...
  6. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu ANC: Hali ya Uchumi ni mbaya, nchi inaweza kufeli

    Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi. Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Tofauti Kati ya Kiongozi Bora na Mtawala Mbaya: Sifa za Uongozi wa Kidemokrasia na Utawala wa Kiimla

    TOFAUTI KATI YA KIONGOZI BORA NA MTAWALA MBAYA: SIFA ZA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA NA UTAWALA WA KIIMLA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, kumekuwa na watu waliopewa jukumu la kuongoza na kutawala jamii zao. Hata hivyo, si kila mtu aliyekuwa na jukumu hilo alikuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu huku hali ni mbaya! Watoto mnawatengenezea Ulemavu

    Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao?? Je hakuna ratiba maalumu ya masomo? Hili tatizo lipo kwa ngazi zote Msingi mpaka Sekondari. Vitu vinavyobebwa ni kama ifuatavyo 1_ Sweta 2_Chupa la maji 3_Vitabu si chini...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hali ya umeme ni mbaya sana Mkoa wa Mara, sijui ulipo hali ikoje?

    Jana nimeanza kutafuta Generator ,biashara yangu kwa mwezi sasa imekuwa na changamoto kubwa sana ya umeme nimepata hasara ambayo siwezi kui cover kirahisi kabisa Tanesco tatizo nini jamani? Tunaomba basi Waziri zungumza na Taifa nini chanzo umeme kuwa tatizo? Sifikirii 2023 kupata changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Sio mbaya wanasimba wenzangu kombe letu la kufa kiume ni kubwa kulikuwa makombe yote

    Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
  12. JamiiForums Tanzania Kulazimisha mapenzi pasipo na mapenzi ni mbaya sana

    Inatokea yule unae mpenda hana muda na wewe na anajua unampenda kwahiyo hata unapo jaribu kutafuta mapenzi kwake unakosa Unajikuta una lazimisha mawasiliano kosa dogo amekutushia kukuacha au anakuacha jaribuni kuheshimu hisia za mtu baadhi ya wanaume 😢😢 ina uma sana
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Muungurumo mbaya wa gari na kuibiwa masega

    Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea. Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika. Je, kuna namna...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari: Nchi 7 kati ya 10 zina hali mbaya

    Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
  16. JamiiForums Tanzania Nimeanza kuelewa kwanini wanawake wa Kiislam wanabanwa kwenda misikitini, huku kwa Wakristo hali imekuwa mbaya, wachungaji wanawageuza midoli

    Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote. Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Machinga apigwa na Mgambo usiku huu hali yake ni mbaya, polisi watanda

    Machinga mmoja ambae hadi sasa hajafahamika jina lake amepigwa vibaya na mgambo wa jiji la Arusha na hali yake inasemekana ni mbaya. Adha hiyo imetokea mida hii ya usiku baada ya kutokea mabishano kati ya Mgambo Na machinga na hivyo Kupelekea machinga huyo kupata kipigo Kikali kutoka kwa mgambo...
  18. JamiiForums Tanzania Tanesco, wilaya ya Temeke hakuna Umeme Hali mbaya Sana.

    Taarifa Tangu siku ya Jana mnakata Umeme tu Huku Temeke Hali ya hewa ni joto Kali watu mnawakatia umeme hata Taarifa hamtoi Tena mnakata siku nzima . Kazi zinazohitaji Umeme zipo nyingi Sana , je? Mnataka watu waishije ikiwa mnakata Umeme siku nzima na hamtoi Taarifa je mnatoa mgao ? Na huu ni...
  19. JamiiForums Tanzania Nilimuacha Kwa tabia Mbaya, Sasa Ataka Kurudi

    VIPI Shangazi? Nimeachana na mpenzi wangu baada yake kubadilisha ghafla mienendo yake. Tulipoanza uhusiano wetu, mpenzi wangu alikuwa mwanamke mwenye heshima sana kwangu, lakini wakati fulani alibadilika akaanza kunionyesha madharau na ikabidi nimuache. Sasa anataka turudiane lakini mimi...
  20. JamiiForums Tanzania Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…